Salaam ,shalom!!
Mara nyingi umewahi kuota ndoto na unapoamka huikumbuki, na Hali hiyo inakupa huzuni na Kupata shauku ya kutaka kukumbuka usiweze.
Usilolijua, Ufalme wa Nuru na WA Giza, falme hizi zinaweza kuleta na kufuta ndoto nafsini mwako Kwa sababu mbalimbali. Na ndoto Si igizo au...