"Nilikuwa naamka saa 12 asubuhi naenda kwenye mihangaiko yeye namuacha amelala, nilikuwa naacha elfu 40 mezani haongezi hata elfu 5 tunakula hiyo elfu 40 siku inaisha anasubiri kesho tena niamke saa 12 nimlishe. Hajitumi, mimi mwanaume ambaye hahangaiki hana maana kwangu"-
My take : Yawezekana...
kwa makadirio makubwa mishahara ya wachezaji na benchi la ufundi kwa timu kuu, Yanga princess na vijana ni BILIONI 4
kwa makadirio ya juu, Timu kuu mishahara ni BILIONI 3
Wanaopata milioni 25 wawili
Wanaopata milioni 20 wawili
Wanaopata milioni 15 watatu
Wanaopata milioni 10 sita
Hao wengine...
Wanaukumbi mko njema
Katika hali ya kawaida nilienda kusuuza rungu kwa binti mmoja hivi
Kama kawaida yetu huwa hatunaga show mbovu, nikamwandaa kisaikolojia vizurii kabla hatujaingia ktk pit
Manzi akaja na full curiosity ya mechi maana nimemwandaa vyema kisaikolojia kiasi kwamba hata...
Watawala wa Africa tofauti na viongozi wa "ulaya' wao wana mambo yao , wanaamini hivyo na huwaambii kitu!
Vyeti feki --------matokeo Halali.
Walimu feki ---- Wanafunzi Halali
Phd Feki ------ Ubunge halali.
Ubunge feki ----- Phd Halali
Manabii feki -- Imani halali.
Njia haramu -- Matokeo halali...
Bob Marley aliwai kusema "the good thing about music, when it hits you, you feel no pain". Sikatai lakini...
Jana baada ya mechi ya yanga na kuchoma Cannabis Sativa kidogo niliingia local bar nikaagiza Pilsner bariidiiii. Nikaendelea kuilamba asteaste nikiskiza Rhumba safi za kitambo na kuosha...
Natumaini wote wanzima humu...
Hii mada ni ngumu kidogo, ila yakupasa kuisoma yote maana ndo tunapoelekea huko.
Ulishawahi kujiuliza kuwa kuna siku utakufa? Na je ukifa itakuwaje?
Kila binadamu ataonja mauti,nakila chenye pumzi kitakufa tu. Hii dunia walishaishigi watu hatari, tena...
Yanga ndio huyo Fainali ya Shirikisho. Tambueni tu mtani anachuma alichopanda baada ya msoto mkali.
Uwekezaji, mipango-mkakati na utawala bora, maandalizi mazuri ya msimu, kiu ya mafanikio n.k, vimewafanya jamaa kuandika historia.
Mafanikio hayana uchawi zaidi ya kujipanga. Mtaani apewe...
Habari,
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya mguu maeneo ya paja kuelekea kiunoni. Kwa kweli sijawahi kuanguka au kupata jeraha lolote hivi karibu ila naona tu mguu unakuwa na maumivu.
Dawa gani nzuri iliwahi kukusaidia kwa maumivu ya mwili au viungo...
Mtanzania mmoja amefariki akiwa anapelekwa Kituo cha Police kwenye kitongoji moja wapo jijini Johanesburg. Kulitokea majibishano na Kurushiana Mawe kati ya Police na Watanzania kwenye kitongoji hicho. Kile walichodai watanzania kuwa Police wamemuua na kuchukua pesa zake. Kuna video ya maojiano...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu na Mjumbe wa kamati Kuu ya Chama hicho, Godbless Lema wametangaza kuwa watarejea nchini hivi karibuni ili kuendeleza jitihada za kudai Katiba mpya.
Wakizungumza katika kongamano la Baraza la Vijana la CHADEMA...
Kuwatangazia panya road oparesheni ni kupeleka salamu ya kushindwa!
Ilitakiwa tutangaze tumefinya panya road wangapi hadi sasa!
Wakati mwingine kutangaza hadharani kwamba unaenda kufanya hiki na kile kutokomeza panyaroad.
kuwa makini na wanaokupigia makofi kwenye kikao hicho huenda kukawemo...
Makamanda, tukubali ukweli kuwa pamoja na wito wa kuandamana kutolewa mara nyingi na viongozi wa CHADEMA, hakuna iliyofanikiwa. Tunajilisha upepo kufikiri kuwa tarehe 5 Agosti itakuwa tofauti.
Ni muhimu sasa tuwaambie viongozi wa CHADEMA waachane na mkakati huu ambao siku zote unashindwa...
Wakuu suala la kumeza ARV kwa maisha yako yote toka kugundulika umeathirika usikie tu kwa jirani. Siku za mwanzo maluwe-luwe Kama yote. Tuache ngono zembe. Vaa kondomu ndugu, ule utelezi na joto-joto litakugharimu. I tell you!
UPDATE
Kama umeoa bora kumtaarifu mapema mwenzio maana siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.