Nilipigiwa simu saa kumi na mbili jioni nikaambiwa mwanaume wangu yupo ……………… na mwanamke , ikabidi nipande boda faster nikamfumanie cha kushangaza sijamkuta nampigia namwambia nipo ………….. hapa ulikua na bitch wako umekimbia anasema ww Unafanya nn masaki mida Hii si ulisema Upo kwako , Yani...