Kwa akili kubwa kama za Lissu unapelekaje aina hii ya waendesha vipindi vya burudani (sio Waandishi wa Habari) kumhoji? Mtu kahojiwa BBC Hard Talk tena kwa lugha ya Kiingereza utamuweza wewe Kanjanja??
https://www.youtube.com/watch?v=h9cHr7NLIBA
Winga Mohamed Bakari aliingia dk66 kuchukua nafasi ya Shiza Kichuya, dk77 alioneshwa kadi ya njano ya kizembe ambayo inashangaza na kama haitoshi dk90+3 akafanya uzembe kwa kumvuta Shomari Kapombe ambaye hakuwa na mpira wala hatari yoyote, jambo lililopelekea penati na timu yake kufungwa. Ni...
Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Tunguu kimekanusha taarifa zilizoenea kwenye mitandao ya kumwita Mwaakilishi wa Jimbo hilo kwaajili ya kumhoji kwenye kamati ya maadili
Akizungumza na wasafi media Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Tunguu Mtumwa Ali Mgeni amesema kuwa kikao kilichofanyika leo ni kikao...
Kuna video inamuonesha mwandishi wa habari akihaha kumkimbilia Kocha wa zamani wa Arsenal ya Jijini London, Mzee Arsene Wenger kwa ajili ya kupata mahojiano mara baada ya nguli huyo kutua Airport ya JK Nyerere kwa ajili ya michezo ya African football league (afL).
Kichekesho ni pale Mzee Wenger...
Biblia inasema mungu akaumba majani ya kondeni ,na Kila Jani mungu anamakusudi nalo ,Kuna majani mungu aliyaumba yawe dawa mengine mboga! Na hata kiburudisho!
Mirungi inajiotea yenyewe maporini Huko , nimtu akitafuna eti anakamatwa! Wakukamatwa ni mungu ,na WA kuhojiwa ni mungu!
Bangi inaota...
Polisi walisema hawawezi kuchunguza kwasababu wameshindwa kumhoji Lissu.
Na kisingizio cha kutokumhoji Lissu ni kwasababu alikuwa nje nchi.
Sasa Lissu amerejea Tanzania. Natarajia jeshi litamhoji na kuwakamata mara moja waliohusika.
Au wataleta kisingizio kingine?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.