Kwanza kabisa nitoe maana ya title hapo juu. Kuifanya Mbeya kuwa workshop ya elimu ni kama kuufanya mkoa wa Mbeya mfano wa kuigwa au sehemu ya kujifunzia kwa mikoa mingine
Kutokana na kiwango cha Elimu kwa huu mkoa wa Mbeya kuwa juu kila mwaka na kuwa constant kwa ufaulu bila kuyumba yumba...