Kamati ya kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Justine Nyamoga imeipongeza Halmashauri ya wilaya ya Ilemela kwanamna ambavyo imetekeleza kwa mafanikio makubwa Programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha Aridhi katika Halmashauri...