Kesi ya mauaji inayowakabili viongozi watano wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kilolo, imeahirishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Iringa kwa kuwa upelelezi wake haujakamilika.
Mwendesha Mashtaka, Wakili wa Serikali Sauli Makori, leo Jumanne, Januari 21, 2025, ameieleza Mahakama kuwa bado...