kumkamata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mazishi ya Prof. Sarungi: Serikali ililazimisha azikwe Dar ili kumkamata Maria Sarungi

    Hii ndio sababu kubwa ya Prof. Sarungi kuzikwa Kinondoni. Kwa ubavu serikali iliingilia kati na kuteka msiba na kulazimisha Marehemu Sarungi kuzikwa Dar. Kwa muda mrefu Serikali ya Samia inamtafuta Maria Sarungi kwa udi na uvumba. Hivyo walijua kuwa kama wakilazimisha msiba uwe Dar ni rahisi...
  2. K

    Haya mazungumzo ndio ya kumkamata Slaa?!! Mbowe kweli anapewa msaada na dola kubaki CHADEMA?!! Mbowe aaminiwe ama amegeuka kua dalali wa watawala?!

    MODERATORS: Tafadhali msiunganishe Uzi huu kwani una umuhimu,unatoa insights kadhaa za miaka mitatu nyuma na yajayo. Kwa mustakabali mpana wa yanayojiri kwa Slaa,Mbowe,Lissu na CHADEMA kwa sasa,nakuomba ungana nami kwa dakika chache tutafakari na kuamua baada ya kusoma,kutazama na kusikiza...
  3. G

    Jeshi la Korea Kusini limewazuia polisi 3000 kumkamata Rais aliyeondolewa madarakani na bunge

    Jaribio la kumkamata Yoon Suk Yeol, Rais wa Korea Kusini aliyeondolewa madarakani na bunge, limegonga mwamba baada ya polisi na wachunguzi wa rushwa takribani 3,000 kuzuiwa na Jeshi la Korea Kusini Wanasheria wa Yoon wamesema polisi na wachunguzi wanaojaribu kumkamata Yoon wamevunja sheria...
  4. Mtumishi yoyote wa serikali au polisi atakapotaka kumkamata mtu bila kufuata utaratibu wa sheria, Watanzania msikubali kukamatwa

    Kulingana na kuongezeka kwa matukio ya utekaji nyara nchini, nitoe wito kwa watanzania wenzangu kwamba sisi kama nchi tunasheria za ukamataji na hakuna aliye juu ya sheria Endapo ukiona mtu yoyote asiejulikana au mtumishi yoyote au polisi anafanya ukamataji bila kufuata utaratibu uliowekwa wa...
  5. LGE2024 Polisi wathibitisha kumkamata Mtuhumiwa wa Mauaji ya Kada wa CHADEMA, Stephen Chalamila

    SONGWE: Jeshi la Polisi Wilaya ya Momba, limesema linamshikilia Mwanaume mmoja ambaye ni Dereva wa Bodaboda anayetuhumiwa kuhusika na Kifo cha Stephano Chalamila (23) ambaye awali aliripotiwa kuwa Mwanachama wa CHADEMA. Taarifa ya Polisi imesema tukio la mauaji ya Chalamila lilitokea Novemba...
  6. LGE2024 ACT Wazalendo: Tumesikitishwa na kitendo cha Polisi kumkamata Mwenyekiti wetu Mkoa wa Songwe, Ezekia Zambi

    TAARIFA KUTOKA ACT WAZALENDO Kwa masikitiko makubwa, tumepokea taarifa ya kukamatwa na Polisi kwa Mwenyekiti wa ACT Wazalendo wa Mkoa wa Songwe leo tarehe 22, November, Ndugu Ezekia Elia Zambi bila sababu za msingi zinazojulikana. Pia soma: LGE2024 - Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro...
  7. Njooni tusemezane. Sheria gani inakataza watu kuchangishana? Waziri Mkuu yupo sahihi kumkamata Niffer?

    Nawaamkua nyote Tarehe 17 Novemba 2024, Waziri Mkuu akiwa eneo la Kariakoo kukagua zoezi linaloeneelea la uokoaji wa waliokwama chini ya kifusi cha ghorofa iliyoanguka. Alitoa maagizo kwa jeshi la polisi kumkamata Mtanzania aitwaye Niffer ambaye kupitia mitabdaoni alitoa taarifa kuwa...
  8. Pre GE2025 Kwanini Polisi haijibu tuhuma alizotoa Sativa juu ya Faustine Mafwele kuhusika kwenye utekaji wake?

    Huu ni uzi wa maelezo ya kijana SATIVA (katika mtandao wa X) namna alivyomtambua Mafwele kwenye sakata lake la jaribio la kuuawa lililoshindikana - Boniface Jacob: Sativa amemtambua ACP Faustine Mafwele miongoni mwa askari waliomhoji Oysterbay alipotekwa TAFAKURI: Kwa nini Jeshi la Polisi...
  9. P

    Wakili Madeleka: Tuna ushahidi unaojaa fuso mbili polisi kuhusika kumkamata Soka

    Maamuzi ya Jaji Wilson Nyansobera yanasubiriwa kutolewa muda sio mrefu kutoka hapa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar Es Salaam juu ya shauri lililoletwa mahakamani na Deusdedith Soka, Jackob Godwin Mlay na Frank Mbise wakiwakilishwa na mawakili Peter Madeleka, Paul Kisabo na Deogratius...
  10. Waziri Dk. Gwajima kumkamata huyo Dada wa Nyoka kwa Utapeli na kuwaacha Matapeli wa Kawe, Buza kwa Lulenge na Kimara Temboni ni Unafiki mkubwa

    Tena Mimi naona huyo Dada wa Nyoka ana Nafuu kwa huo Utapeli ila Matapeli halisi na Wezi wa Umasikini wa Watanzania wengi kwa njia ya Imani yao ya Uwongo na Kweli wako Tanganyika Packers Kawe, Buza kwa Lulenge na Kimara Temboni.
  11. Arrest Warrant ya ICC ni ya Kipuuzi hakuna hapa Duniani mwenye Ubavu wa Kumkamata Israel Premier Netanyahu na Ole wao Wathubutu watakiona cha Moto

    Yaani kabisa uhusike katika Kulihujumu Taifa Teule na Mungu Israel halafu eti LAANA yake Mwenyezi Mungu isikupate?
  12. US waitishia ICC kuwa hakuna kumkamata Netanyahu

    Mnaosemaga US na EU ndo baba wa haki za binadamu mko wapi? Mnaoamini demokrasia feki za madola ya magharibi mko wapi? --- The US threatens the International Criminal Court in The Hague: "If you send an arrest warrant to #Netanyahu and his ministers, there will be no cease-fire" - Bloomberg...
  13. Polisi wameshindwa kumkamata huyu tapeli anayewapiga Walimu kila siku?

    Heri ya mwaka mpya watu wangu wa nguvu. Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi. Naomba niseme kuwa huu ndio uzi wangu wa kwanza kwa mwaka huu wa 2024. Sikuwa nimepanga kuweka uzi hapa JF mapema hivi ila imenibidi nifanye hivyo baada ya kupokea ujumbe huu wa onyo kwa njia ya WhatsApp...
  14. Mbunge Pauline Gekul akamatwa na Jeshi la Polisi akijaribu kutoroka nchini kuelekea nchini Kenya

    Pauline Philipo Gekul, mbunge wa Babati Mjini (CCM) amekamatwa na jeshi la polisi alipokuwa akijaribu kutoroka kuelekea nchini Kenya kupitia mpaka wa Holili, Rombo, Kilimanjaro. Hii ni nia OVU. Jambazi Pauline aliwateka Hashimu na Michael, kuwatesa na kuwawekea chupa makalioni. ==== Pauline...
  15. Wanajeshi wa Ukraine wafaulu kumkamata kamanda wa Urusi na wanajeshi kadhaa

    Kamanda alishindwa kutoroka walipozidiwa.... SCREENSHOT FROM VIDEO MADE BY AZOV Soldiers from the 1st and 2nd battalions of the Azov 12th Special Forces Brigade of the National Guard of Ukraine have captured four servicemen of the Russian Army during the storming of Russian positions: among...
  16. S

    Ewe askari soma hii na uielewe

  17. R

    Kuna watu wanapenda kumkamata Mdude kwa sababu wanalipwa na serikali perdiem zakuzunguka naye; zikiingia kwenye akaunti tu wanamwachia

    Mdude na wenzake wanaishi Mbeya; wamekaa Mbeya toka hukumu ya DP world ilipotolewa na wakatoa na matamko yao hakuna aliyewakamata. Mara paap wamepanga safari waje zao kula bata mjini wanakamatwa usiku wa manane Mikumi; kisha utasikia wamepelekwa makao makao makuu Dodoma mara wamepelekwa Mbeya...
  18. Naomba mbinu za kumkamata mchawi

    Wandugu heri ya ijumaa! Kuna dogo ni beki 3, ninahisi ananguvu za ajabu ajabu a.k. a mauza uza! Sasa nikasema moyoni nitaenda kwa wanajamii forums, great thinkers wenye akili Mithali ya Aristotle, Socrete, na Plato, watu walikuwa na maarifa na akili za kiufumbuzi wa matatizo! Ndugu nipeni...
  19. O

    Kesi ya mauaji ya dada wa Bil. Msuya:Mkaguzi Mahita aeleza mbinu aliyotumia kumkamata mshtakiwa

    Dar es Salaam. Mkaguzi wa Polisi, Mahita Omari Mahita ameieleza Mahakama kuwa walifanikiwa kumtia mbaroni mshtakiwa wa pili, Revocatus Everist Muyella katika kesi ya mauaji ya Aneth Msuya, baada ya askari mmoja kumuomba lifti amkampeleka hadi kituo cha polisi. Mahita alieleza mbinu hiyo jana...
  20. T

    Nimepita jengo la bunge nimeliangaliaaa, kisha nikajiuliza, waliomo humo wanatusaidia nini?

    Daah! Kweli imekuwa kimya kwa upotevu wa matrilion tarifa za CAG? Kisa wahusika wakuu ni viongozi wa mawizara na Idara mbalimbali?? Kweli kabisa? Siamini nachokiona na kukisikia kwa masikio yangu! Daah! Ikitokea mtumishi wa chini kabisa huko kahusishwa tu na udanyifu fulani, achana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…