Polisi nchini Uganda imewafungulia mashtaka maafisa wake wanne waliovamia sherehe ya harusi wiki iliyopita na kumkamata bibi harusi wakimtuhumu kwa wizi.
Kwa mujibu wa Msemaji wa Polisi, Fred Enanga, Askari hao hao wamefunguliwa mashtaka ya utovu wa nidhamu, na endapo watakutwa na hatia jeshi...