kumkumbuka mpenzi wa zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. THE FIRST BORN

    Ni kitu gani 'EX' wako alisema kuhusu wewe mlivyoachana na kilikufedhehesha?

    Habari wanajukwaa la hili La Moto siku zote. Leo bhana nimekaa nikaikumbuka Ex yangu na kitu iliwahi nifanyia baada ya kuachana. Huyu binti nilikua napiga Miti sana enzi hizo nipo nae yani hadi Wakat wa baridi tulikua tunaoga Mara 3 katikati ya Match😂 Halaf yeye ndie alikua wa kwanza kusema...
  2. Mzee Mwanakijiji

    Yule ambaye hamkuoana japo mlipendana. Ukimkumbuka unafanyaje?

    Baadhi yetu tuna kumbukumbu fulani za mpenzi yule ambaye unajuta hadi mtondogoo kwanini hamkuoana. Mlipendana, mlipeana, mliliwazana, mliinuana hadi familia ziliweka alama za tiki. Kila mtu mtaani alijua nyinyi ni wenza. Mara puu!! Hamkufunga ndoa si kwa kuachana au kugombana yaani hadi kesho...
Back
Top Bottom