Habari wanajukwaa la hili La Moto siku zote.
Leo bhana nimekaa nikaikumbuka Ex yangu na kitu iliwahi nifanyia baada ya kuachana.
Huyu binti nilikua napiga Miti sana enzi hizo nipo nae yani hadi Wakat wa baridi tulikua tunaoga Mara 3 katikati ya Match😂
Halaf yeye ndie alikua wa kwanza kusema...
Baadhi yetu tuna kumbukumbu fulani za mpenzi yule ambaye unajuta hadi mtondogoo kwanini hamkuoana. Mlipendana, mlipeana, mliliwazana, mliinuana hadi familia ziliweka alama za tiki. Kila mtu mtaani alijua nyinyi ni wenza.
Mara puu!! Hamkufunga ndoa si kwa kuachana au kugombana yaani hadi kesho...