Mbowe kaanza visingizio mapema.
Kwani lissu Kula kitimoto na bia unahusika nini na uchaguzi?
Lissu Kula Sato na ugali wa mtama inakujaje kwenye uchaguzi kwa nini haukusema hayo mapema iweje Leo?
Mbowe atangaze Sera au aseme walikula wote hivyo vyakula, asilete ujanja ujanja kisa uchaguzi
MWANAUME BORA LAZIMA UMTOE OUT MKEO NA KUMNUNULIA ZAWADI. HAIWEZEKANI MWAKA MZIMA HUJAFANYA HIVYO. HUO NI USHENZI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Siku 365 na masaa kadhaa Mkeo na watoto wapo nyumbani kama gereza la Kinguruila. Kila siku kupika chakula hapo nyumbani huyo Mkeo hachoki tuu...
Nilisikiliza interview ya Makonda huko Arusha, na moja ya jambo alilojitapa ni kumpatia gari mtangazaji wa Clouds aitwaye Cza.
Na Cza anakiri kwamba alienda Arusha kwa kuitwa na Makonda, na si kwa kupangiwa kazi na ofisi. Naona kuna mradi wa kumtakatisha mtu.
Msanii wa muziki zuchu kupitia kipindi cha (lavidavi) cha wasafi fm ambapo alipokua akihojiwa Anjela, ameahidi kesho 22/8/2024 atamnunulia anjela gari aina ya Crown kwani ni kama dada yake na hakuna anaejua kesho huenda iko siku Anjela atakuja kumsaidia na yeye.
Mafanikio ya pesa ni addictive, utahitaji zaidi na zaidi, leo upo middle class lakini unahisi unastahili kuwa upper middle class.
Mafanikio ya pesa ni "very demanding", utahitaji vya gharama zaidi na zaidi, leo utanunua harrier lakini unahisi kwa uwezo ulionao unapaswa ununue fortuner.
Kama...
Baby nakupa simu hii ila sitaki ujiunge na magroup ya whatsapp,facebook na mitandao mengine,simu hii ni kwa ajili yangu na ndugu tu.
Ujanja au ushamba?
Iko hivi kuna binti flani hapa kitaani kwangu nilikuwa napiga mzigo. nilimpenda kindakindaki. Moyo wangu na hisia zangu zote zililala usingizi wa fofofo kwake
Sikuwa na ubahiri kwake, Mchizi nilipagawa na uzuri wake, ana bonge la mtrako, halafu anajua kulitumia Kitandani, ni mtundu wa mapenzi...
Hii kampeni ya kuchanga ili kumnunulia gari jipya la kifahari Makamu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ni dhihaka iliyopitiliza kwa mwananchi wa kawaida. Tofauti kati ya wabunge wanaopitisha bajeti za kujinunulia magari ya kifahari na viongozi wa CHADEMA hakuna. Kama viongozi wa CHADEMA nao...
Jana nilishtuka baada ya kuona wakinamama waliochanga mil 200 ya kumchukulia mama Samia fomu ya kugombea urais.
Tukikaa kimya mama anaweza kudhani anaupiga mwingi sana na kila kitu kinaenda vizuri.
Nataka kuanzisha Harambee ya kumnunulia mama Samia 2025 ili aachane na siasa.
Shamba...
Ukihitaji salamu nenda kwa waswahili wenzio,kwangu utaambulia chuya tu!.
Kuna mambo mawili ambayo siwezi katakata na sitothubutu kuyafanya kwa kiumbe anayeitwa "MWANAMKE"
Mambo hayo ni :-
1.KUMSOMESHA
2.KUMNUNULIA NGUO YA NDANI (Waswahili huita "CHUPI")
Mambo mengine yote naweza kuyafanya...
Mwanariadha wa Kenya , Faith Kipyegon ameahidi kumnunulia baba yake mzazi Gari ya ndoto yake; baada ya kuzawadiwa zaidi ya milioni 85 ya Kitanzania na Rais Ruto Ikulu Jijini Nairobi.
Faith, amezawadiwa pesa hizo baada ya kuvunja rekodi mbili za dunia katika mbio za mita 1500 na mita 5000 huko...
Pamoja na zawadi ya £60m Brad pia ameinunua nyumba waliyoishi na Jeniffer wakiwa wanandoa na kumpa Jennifer kama zawadi. Nyumba hii iliuzwa kama sehemu ya makubaliano ya talaka. Brad aliongea na Jennifer baada ya ndoa yake na Angelina Jolie kuanza kusua sua na Jennifer alimueleza mapenzi yake...
Jumapili moja nilikuepo kwenye mgahawa mmoja hapa Dar, kiukweli ni mgahawa wenye hadhi kidogo (upo classic) mgahawa una ukuta wa kioo, ndani kiyoyozi plus tv Pana flat screen. Nilivokua nje ya mgahawa mara akaingia mdada mmoja mzuri kweli nikasema dooh.
Mungu ni fundi ile nimeingia ndani mdada...
Habari zenu
Katika hali isiyo ya kawaida siku ya leo nimepewa rasmi barua ya kuachishwa kazi kwa kosa la utovu wa nidhamu
Shughuli ilianzia Alhamisi iliyopita mida ya saa tatu bosi aliniita ofisini na kuniagiza vitumbua vya mia tisa
Kwakweli kulingana na nilivyokuwa mimi mtu mzima nimevaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.