kumnyanyapaa samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mimi binafsi sijaelewa hii hoja kuwa Watanzania mnamnyanyapaa Rais Samia. Aliyeelewa atusaidie

    Kumnyanyapaa mtu ni jambo baya sana. Lakini inadaiwa kuwa tangu Oktoba 29 Watanzania mmekuwa mkimnyanyapaa rais Samia sababu tu ni mwanamke. Je ni kweli? Chanzo cha mjadala, soma>> Mwenyekiti wa CCM (Singida): Acheni kumnyanyasa Samia, tangu achaguliwe mnamzuia kufanya kazi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…