Enzi zetu wakati tunasoma, kwenda shule ilikuwa ni kwa lengo la kujua kusoma na kuandika tuu.
Baada ya hapo ilikuwa ni optional kwako either urudi nyumbani ukaendelee na michakato mingine ya maisha, ama uendelee na shule mpaka utakapokomea.
Enzi hizo ilikuwa "utafika mbali endapo una akili"...
Nimeiona hii Hali kwa madada wawili wa tumbo moja, wa kwanza alijifungua na baada ya kukorofoshana na mwanaume wake akampeleka mtoto kijijini ingalikuwa mwanaume alikuwa anaweza kumtunza mtoto vizuri tu
Mdogo wake naye hivyo hivyo baada ya kugombana na mwanaume wake akachukua mtoto akampeleka...
Kwema wakuu! Nina binti wa miaka minne ambae nimeamua kumpeleka boarding kutokana na kukosa maelewano mazuri na mzazi mwenzangu hali iliyopelekea nitengane nae na kubaki na mwanangu. Niliamua kuchukua uamuzi huo baada kutokana na mda mwingi kuwa bize na kazi na kukosa mda wa kutosha kukaa nae...
Kuna mtoto wa ndugu yangu
ninamsomesha. Huyu dogo kafaulu
Kidato cha 4. Kapangiwa college,
kwa akili za huyu mtoto naona bado hawezi kusoma college.
Ni kijana wa kiume, mvivu, bonge, hana adabu, jeuri. Kwa ujumla alilelewa kishenzi.
Mimi niko mbali na anakoishi.
Nimewaza aende Form 5 shule za...
Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar esSalaam,imemsafirisha Godlista Malisa kwenda nyumbani kwao Kwa ajili ya kumfanyia upekuzi,baada ya kudaiwa kuandika uchochezi katika mitandao ya kijamii.
Kwa vyovyote vile Kwa umaarufi wa Malisa Polisi ni lazima watachukua tahadhari ya usalama wao na wake...
Taarifa kutoka huko Tunduru mkoani Ruvuma zinadai kwamba Sheikhe afahamikae kwa jina la Abdulrazack Mohamed alikamatwa na watu wanaodhaniwa kuwa polisi (kutokana na mavazi yao) mnamo tarehe 7 mwezi March 2024 na kupelekwa kusikojulikana.
Ndugu walivofanya ufuatiliaji kwenye vituo vyote vya...
Mkoa wa Arusha ni mkoa wa kitalii, unapokea maelfu ya watalii kutoka Ulaya na Marekani. Ni vyema basi, kutokana na mabadiliko ya kiutawala, na watalii huwa hawapendi rabsha, wamekuja kupumzika na kula raha, Dodoma(makao makuu) jicho lao liwe Arusha.
Hata vyombo vya dola Arusha vikipewa amri na...
Sioni haja ya kupeleka mtoto boarding ikiwa upo mazingira yenye shule za day zenye hizi sifa:
-zipo karibu zinafikika ndani ya lisaa
-zinafaulisha takribani wanafunzi asilimia 50
-zina walimu wa kutosha
-usimamizi upo wa mzazi kufahamishwa mahudhurio ya mtoto
Tuache kudanganyana kama zamani...
Tafadhali nawaomba Siku zingine msirudie tena au kama mnapenda awe anatumika katika Oparesheni zenu basi anzeni Kumlisha vyema ( Balance Diet ) ili Mwili wake uongezeke na mpeni Ratiba maalum ya kwenda Gym Kuujenga na Kuukomaza Mwili wake akienda tena katika Oparesheni zingine asiwe anapepesuka...
Kuna huu mkumbo tulionao watu weusi wa kuigana igana mambo hata yasiyo na maana.
Hapa nitazungumzia huu mtindo walionao wazazi wengi kupeleka watoto wao English medium kwa minajiri kwamba wakapate elimu bora.
Inshort hakuna faida yoyote ya kumpeleka mtoto English medium kwa elimu ya bongo...
Si sawa kumpeleka mtu Mahakamani Kwasababu ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja kwasababu ni starehe ya mtu binafsi na maisha yake mwenyewe. Mtu amezaliwa mwenyewe na atakufa mwenyewe kwa wakati wake hivyo basi starehe zake binafsi aachiwe mwenyewe kwasababu hajalazimisha watu washiriki nae...
Zumaridi ni msumari wa moto na chachu ya mabadiliko na wala hamuwezi kumpeleka popote.
Mnamnanga kwa yeye kujiita ni mungu, hivi kweli ninyi mnaakili sawa?
Je mnataka kumpeleka mahakamani, mahakama ipi inayo hukumu kwa kutumia sheria za MUNGU. ?
Mnajifanya mna uchungu sana na MUNGU ilihali...
Mwenyezi Mungu awe Pamoja nasi, malezi ya watoto wakike Pamoja na kiume wote kwa Pamoja ni magumu mno kama ukilegeza, namuelewa sana mzee wangu kwa kutupiga vipigo vya mbwa koko ukifanya makosa ya hovyo au akikukuta na kampani ya kijinga.
Nipo mkoani huku Kuna chuo Cha kati, kinachukua watoto...
Kumbe Marehemu Mrema akiwa Hai aliacha kabisa Maagizo kuwa Akifa asipelekwe Kuzikwa Kilimanjaro (Moshi) na badala yake azikwe hapa hapa Mkoani Dar es Salaam na kwamba Watakaolazimisha Kumsafirisha basi wajiandae Kuondoka nae rasmi Duniani (Kufa) kama ilivyotokea.
Najua wapo mtakaolibishia hili...
Naombeni msaada tafadhali.
Je nitapata seminari ya kiislamu inayo FANYA vizuri ambayo huyu mtoto ataenda kusoma bila kulazimika kuwa muislamu? Mfano kutakiwa kuswali, kujifunza koroani etc.
Mambo mengine yote atafuata kama mavazi na sheria nyinginezo za shule?.ushauri wenu tafadhali. Iwe dsm...
Unapozungumzia Mbunge anabidi kuwa na sifa tofauti na hizi zilizopo za kujua kusoma na kuandika tu. Ubunge ni Kazi ya muhimu sana haiwezekani mtu mwenye Elimu ya kuunga unga apewe ubunge?
Vigezo viwe:
~ Mtu msomi aliye na Degree Safi kutoka katika chuo kizuri na sio lasaba au form four au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.