Mimi sio mtu ninaependa hovyo.
Ninatabia ya kuwaelewa wanawake fulani wenye nyota ya mvuto. Yaani kuna wanawake unakuta wanaume wamejipanga wote wanamfukuzia.
Sasa huyu single mama anashida kwenye mahusiano na hataki kusikia harufu ya usumbufu. Mimi nae tunalonga vzr. Nimeanza kumwambia kwa...
Siku ya Jana kupitia mtandao wake WA kijamii, maarufu Kama X , Bilionea Elon Musk ameandika kua Anampenda Raisi Donald Trump Kama vile mwanaume anavyoweza kumpenda MWANAUME mwenzake.
Aisee,
imekaaje hii wakuu au mi ndo sijaelewa🤔
Sasa nimeelewa huu msemo unamaanisha nini.
Hitaji namba moja la mwanaume ni heshima na hitaji namba moja la mwanamke ni upendo.
Kumbe upendo na heshima ni vitu vinavotegemeana🤔
SIMULIZI: NAITWA MUME ZOBA KWA KUMPENDA MKE WANGU.
SEHEMU: 1
MTUNZI: Madodi ✍🏼
Whatsapp: 0655 969 973
Naitwa Iqram, kijana mrefu, mweusi mwenye tabasamu la kuvutia ambalo lilikuwa na uwezo wa kuwatoa watu wasiwasi hata kwenye hali ya huzuni. Nilikuwa na bahati ya aina yake kwa kumwoa Zuhura...
Takribani miaka 6 Sita Sasa tangu uangalizi wangu kwa binti wa majirani zetu, nampenda yule binti nayeye pia ananipenda pia kwao walizaliwa 6 lakini wa kiume mmoja binti Huyo Alifunga kizazi na ndio pekee aliyeweza kusoma
1.ugomvi wa visima vya maji
Ugomvi ulianza kwenye kisima cha maji mwaka...
Ni dhahiri sasa, Dr.Samia Suluhu Hassan anapendwa nchi nzima. kazi za mikono yake na mipango mikakati yake kupitia serikali sikivu ya CCM zawafurahisha sana na kuwanufaisha wananchi nchini kote Tanzania..
Wananchi hivi sasa maeneo mengi nchini wana pata huduma nyingi muhimu kwa uhakika na...
Huyu jirani yangu ni playboy, kila baada ya miezi mitatu alikuwa ana-renew wanawake, lakini kwa huyu aliyenaye kwa sasa, anavutia sana. Siku zote nimekuwa nikingoja kifurushi kiishe, ni mwezi wa nne sasa tokea amekuwa naye, hakuna hata dalili. Nimechoka kumchukulia sheria mikononi, siku zote...
1. Ni nani aliidhinisha kampuni za bahati nasibu nchini zije zikusanye billions of money kwa Watanzania na kuacha pesa ndogo kwa jina la kodi?
Jibu ni Mtanzania.
2. Ni nani ametoa kibali na ni nani anazifanyia matangazo kampuni za mikopo ya kihuni na kitapeli mitandaoni?
Jibu ni Mtanzania.
3...
Hii sio siri bali ni kitu iliyo wazi kabisa.
Wanaume wasiotumia akili katika kumpenda mwanamke, ndio hao wanao lia lia kutwa nzima kwa uchungu na kuwalaani wanawake baada ya kupigwa za uso.
Mwanaume unazama mazima kwa mwanamke kisa umevutiwa na kiuno ama kario lake.
Kabla ya kuzama mazima ni...
Rais wa Nigeria Bola Tinubu kupitia Waziri wake wa Maendeleo na Madini ameamuru kuanzia Jana tarehe 20 Desemba, 2023 hadi tarehe 4 January, 2024 Treni zote za nchini Nigeria kubeba bure Wananchi wanaoenda Kutembelea Ndugu zao Kipindi hiki cha Sikukuu za mwisho wa mwaka ( Christmas na Mwaka Mpya...
Walidhani kila jambo linasaulika, ila ukweli ni kwamba kwa uhalifu uliofanywa enze za RC Makonda hakuna mtu serious atamuunga mkono.
Atumie pikipiki au atembee kwa miguu still nafsi za watu zinakumbuka ukatili wake.
Mapokezi yake yamefanywa na wale wale tuliowaita chawa lakini viongozi...
Ukihitaji salamu suburi kwanza nilewe, tofauti na hapo utaambulia chuya!
Kiranga ana asilimia kubwa kuurithi uzima wa milele kuliko watu wengi wanafiki!.
Narudia tena "Kiranga anazo asilimia kubwa za kuurithi uzima wa milele kuliko wanafiki walio wengi"
Kiranga ni nani?
Huyu ni jamaa ambaye...
Naombeni mnipe majibu, ni kweli mwanamke hawezi kumpenda mwanaume fukara? Lakini mbona baba yangu alipendwa na mama yangu akiwa hana kitu, mimi nimezaliwa mpaka nafikia umri wa kujitambua nimekuta baba yangu anaishi kwao, yaani kwenye nyumba ya wazazi wake nayo ilikuwa chumba kimoja na sebure...
Habari za jumapili wakuu.
Leo kuna kitu kimenichanganya kidogo.
Kuna binti nilimpenda kama 10 yrs ago huko, kama mjuavyo mabinti hawa wakiwa in their early 20's wanavyokuaga, baada ya battle ya hapa na pale kwa kipindi kile nikaona sina nguvu ya kupambana na matajiri coz ya mwanamke nikaachana...
Wasalaam keyboard warriors..
Kuna ile hali unajikuta unampenda sana mtu pasipo yeye kujua au pengine anajua ila unajizuia kumwambia ili muingie kwenye mahusiano au kufanya nae mapenzi kutokana na sababu ambazo zipo nje ya uwezo wako kuepuka madhara yatakayo jitokeza baada ya hayo mahusiano...
Kati ya vitu vigumu ambavyo vimekuwa vinawasumbua vijana wengi sikuhizi ni pale anapokuwa ana mapenzi na mtu ambaye kiukwel yeye anampenda kutokana na mazingira labda waliokutana au vitu walivyofanya pamoja lakni mwenzake anakuwa hampendi kabsa na kuna vitu baaadhi anakuwa anafanya ili tu...
Natumai mwabuheri wa afya tele na mko vema na huu mwaka mupya. Leo nikiwa ndani ya shoo shoo na pisi mpakato yangu nimeulizwa mbona hujanitafuta ni wiki mbili toka tufamiane ulikuwa unasubiria mwaka mupya ufike ndio uniite?
Hapo ni baada ya kula shoo kama awamu mbili na vibez kama zote, mvuvi...
Naomba wanaume msiache kudodosa na kupata uhakika wa jambo hili kwa huyo unayefikiria kumuoa.
Hapa namuongelea yule mwanamke ambaye ilitokea tu akamuona mwanaume halafu akampenda na wakaja kuwa na mahusiano.
Mara nyingi wanaume huwa wanawatumia wanawake wa aina hii maana ni sawa na swala...
Ndugu zangu watanzania Rais Samia amepata mapokezi ya Kihistoria, mapokezi ya kishindo, mapokezi ya aina yake, mapokezi yaliyoacha Alama ,mapokezi yaliyotikisa Kanda ya ziwa mpaka mwisho wa reli, mapokezi yaliyo isimamisha Tanzania, Mapokezi yaliyosimamisha kila kitu ,Mapokezi yaliyo tetemesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.