kumpenda mkeo ni limbwata?

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Kwanini bado Jamii yetu inaamini ukimuonesha mapenzi mkeo ni limbwata?

    Wajumbe salama? Hivi ni kwanini bado jamii yetu inaendelea kuwa na mtazamo kwamba ukionesha mapenzi kwa mkeo ni limbwata? Tunaamini sana katika ulozi? Ama ndiyo mfumo dume umeshatuathiri kwa kiwango kikubwa?
Back
Top Bottom