kumpiga risasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    TANZIA Iringa: Katibu wa CCM Kilolo avamiwa na kuuawa na Watu wasiojulikana

    Watu Wasiojulikana Wanadaiwa wamemvamia aliyekuwa Katibu wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa, Christina Kibiki na kumuua kwa kumpiga risasi. Taarifa ambayo Matukio Daima Media tumeipata inadai kuwa watu hao Wasiojulikana wamefanya uvamizi huo usiku wa kuamkia leo Novemba...
  2. Michael Clifford ana uwezekano wa kuweka wazi majina ya wahusika wote ambao alifanya nao online conference ya kumpiga risasi Lissu

    Wakati ukuta, tuliwahi kusema na watu walisema MICHAEL CLIFFORD anaenda weka majina ya wote walioshiriki katika unyama wa Lissu. Kwakua tulizoea wafunga mdomo watanzania je tutaweza mfunga mdomo Michael Clifford?
  3. Nigeria: Askari atuhumiwa kumuua raia mwenye ujauzito kwa kumpiga risasi

    Jeshi la Polisi limemsimamisha kazi mtuhumiwa ambaye inadaiwa alimpiga risasi Mwanamke huyo ambaye ni Mwanasheria wakati alipokuwa na familia yake wakirejea nyumbani kutoka kanisani Jijini Lagos Askari anaitwa Drambi Vandi huku marehemu amefahamika kwa jina la Bolanle Raheem aliyekuwa na...
  4. Tory Lanez akutwa na hatia ya kumpiga risasi Megan Thee Stallion, anakabiliwa na kifungo cha miaka 20

    Rapa Tory Lanez mwenye asili ya Canada amekutwa na makosa 3 ya Kushambulia kwa kutumia Silaha aina ya Bastola, Kubeba Bastola yenye Risasi ikiwa ambayo haina usajili na Kufyatua Bastola hiyo kwa uzembe. Kwa mujibu wa Sheria za Marekani, makosa hayo yanamuweka hatarini kufungwa miaka isiyopungua...
  5. S

    Kwa tuhuma za Kabendera, ni wazi kuwa waliomtolea Nape bastola na kumpiga risasi Lisu walitumwa

    Kipindi cha JPM palikuwa na wababe wa utekaji, uuaji na uporaji. Ni ktk awamu hii ambapo tulishuhudia utamaduni mpya ukiibuka hapa nchini wa viongozi kutishiwa na bastola mchana kweupe na wengine kushambuliwa na bunduki. Waliyo yafanya haya bila shaka ni wale wahuni ambao Erick Kabendera...
  6. Mbaroni kwa kumpiga risasi ya paja mtu aliyetaka kumshambulia kwa shoka

    Mlinzi wa Kampuni ya Kachipa aitwaye James Mtongori (28) Mkazi wa Katoro anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Geita kwa kumpiga risasi pajani, Kijana Kulwa Sylvester (26) Mkazi wa Katoro Tarafa ya Buseresele Mkoani Geita. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe amesema kabla...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…