kumpinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Aliyehamia CCM Zanzibar: Niligombea umakamu mwenyekiti ACT kumpinga Jussa akaniambia utakoma na hautakuwa

    Wanachama 2370 waliokua ACT Wazalendo wakiongozwa na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kiwani kwa miaka 20, Hija Hassan Hija, wamekabidhi kadi za ACT na kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM) huku akiweka bayana kuwa aligombea makamu uenyekiti kwenye chama chake cha awali kumpinga Ismail Jussa ambapo...
  2. Tetesi: Kinshasa yatuma hati ya kumpinga Umoja wa Afrika (AU) baada ya mazungumzo kuhusu M23

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza kwamba barua rasmi ya maandamano hivi karibuni itatumwa kwa Tume ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa. Uamuzi huu unafuatia taarifa zilizochukuliwa kuwa hazikubaliki na rais wa Tume ya AU, Moussa Faki Mahamat, ambaye hivi karibuni...
  3. kule Kenya,Vijana leo wameanzisha maandamano ya kupinga kutekwa kwa kijana mwezao. Tanzania hii haiwezekani tunataka mtu atuandamanie.

    Tanzania narudia kusema Movement za kiuanaharakati hatuziwezi na tunazania mtu mmoja anaweza fanya kwamba kuna mtu anaweza andamana kwa niaba yetu au anaweza paza sauti na sisi tukakaa kutazama jioni kwenye taatofa za habari. Wakenya wana spirt ya asili ya kupambana na sio kutegemea wakina...
  4. Pre GE2025 Anaetaka kumpinga Rais Samia asigombee 2025 anaweza kuja na hoja gani? Anahujumiwa?

    Inafahamika kuwa 4Rs zilimnyanyua juu juu juu zaidi kimataifa Rais Samia kwenye nyanja ya demokrasia. Hii inaweza kuwa chanzo cha hasira kwa wale wote waliokuwa wakisema hataweza. Bwawa limekwisha, SGR anabeba watu, madaraja yanamalizika kujengwa, barabara za mabasi ya haraka vumbi linatimka...
  5. F

    Katibu Mkuu CCM kumpinga RC Arusha kimafumbo anataka kumfurahisha nani?

    Sisi sote tu mashahidi jinsi katibu Mkuu CCM anavyoonesha dhahiri kupingana na Rc Arusha. Ni katika sakata la kuwataja wanaomuhujumu Rais. Katibu amekuwa na mafumbo na kejeli kwa mwenzie. Je anataka kumfurahisha nani? Je anafanya hayo kwa dhamira ya thati? Je, anafurahi wadhifa wa urais...
  6. Mahakama yaruhusu Mkuu wa Wilaya kumpinga Rais Samia kumstaafisha kabla ya muda kisheria

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mjini wakati wa Magufuli Komanya Kitwala ameruhusiwa kufungua kesi na Mahakama, Ili kupinga kustaafishwa kwa lazima na Mkuu wa nchi, kwa manufaa ya Umma. Kwa taarifa kamili soma kiambatisho Cha gazeti hapo chini. ---- Mahakama Kuu Masjala Kuu imemruhusu...
  7. Julius Malema anaongoza maandamano kuunga mkono ushoga na usagaji na kumpinga Rais Museveni

    Kiongozi wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini, Julius Malema, ameongoza maandano akiwa amevaa bendera inayotumiwa na jamii ya wanaounga mkono mapenzi ya jinsia moja akiongoza waandamanaji kumpinga Rais wa Uganda, Yoweri kufuatia kutungwa kwa sheria inayozuia masuala ya mapenzi ya...
  8. Naomba wakristo tuungane kumpinga mchungaji Masisi

    Mimi kama Kristo niliolelewa nikijua Biblia ni kitabu kitakatifu, nimesikitishwa sana na huyu mchungaji Masisi kwa makufuru yake kuhusu Biblia. Masisi hana tofauti na wakristo wengi ambao tumekuzwa tukielewa Biblia ni neo la kweli la Mungu, ila kiburi anachokionyesha sijui kwa usomi wa...
  9. N

    Waliwahi kumpinga Aragija kwa barua, wakamalizana. Leo kawafaa

    Hakuna adui wa kudumu bwana , hakuna mkate mgumu mbele ya chai, naaaam penye udhia penyeza rupia, hata watu wenye akili zao watajizima data, BOOOOM Somo kwenu kina TRY AGAIN, fungueni booster sasa katoeni hela za M-BET huko benki sambazeni kwa hawa waamuzi ndicho wakitakacho na vichenchi...
  10. T

    Tundu Lissu tafadhali simama uhesabiwe katika wanaotetea haki ya Spika kumpinga Rais

    Tundu Lissu umepigwa risasi ukipigania haki ya kuhoji na kumpinga Rais. Sasa imekupasa kufanyika mfano wa utaua na mzee wa kitaifa, a towering statesman Spika Ndugai hakujali ulipopigwa risasi, na hajui unachokitetea ni nini, leo hii yamemkuta Spika Ndugai, mwanasiasa mwenzio na mtesi wako, the...
  11. C

    Hemed Kivuyo atoa waraka mzito kumpinga Manara:atoa onyo Yanga SC

    Sina la kusema sababu aliyeandika waraka ni jamaa lialia la utopolo hata likitangazaga kwenye tv huwa linalia kabisa utopolo wakiwa wamepigwa na kina kapumbu ***************** Haji Manara Bomu linalosubiri Kutupasukia Anaandika Hemed Kivuyo. Wananchi leo ni Siku yetu, tusherehekee tufurahi...
  12. P

    #COVID19 Chanjo ni hiari: Spika Ndugai ni nani kuipinga kauli ya Rais?

    Bunge kupitia mh Sipika nasikia eti ataweka zuio la wabunge wote ambao hawatakuwa wamechanjwa wasiingie bungeni Kwa kauli moja ya Mh Rais huwa ni sheria, Mh Rais alitangaza wakati tu nchi inajiandaa kuingia kwa ajiri ya wananchi kupata chanjo kwamba, Chanjo ni hiari ya mtu, mtu akitaka na...
  13. S

    Hakuna aliyeweza kumpinga au kumkosoa Hayati Dkt. Magufuli, tusiwalaumu watu ikapitiliza

    Kuna wimbi la kuwalaumu watu kuwa wakati wa Mheshimiwa Marehemu JPM hawakuweza kuitetea kweli au kuisema haki, hivi ni nani alikuwa na uthubutu wa kumpinga kumshauri au kumkosoa? Tuseme ukweli tutajieni watu waliokuwa na uthubutu wa wazi kabisa kumzungumza, Mheshimiwa Magufuli zaidi ya kumsifu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…