kumpongeza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    Joseph Sinde Warioba, mwana CCM pekee ambaye amegoma kumpongeza Wasira kwa nafasi ya umakamu CCM?

    Ni Wasira ndiye alimuondoa Warioba katika ubunge wa Bunda, walipelekana mpaka mahakama ya rufani. Sijamsikia Warioba akitoa hata pongezi, kulikoni!? N. B: Ni Wilaya ya Bunda ambayo imetoa Makamu wa Mwenyekiti CCM Taifa, Waziri Mkuu, nadhani(hata Mwenyekiti wa CCM taifa, Julius Kambarage...
  2. The Watchman

    Luhaga Mpina: Wanaomsifia Rais Samia ndio hao wanaoongoza kwa kumhujumu na kufanya uovu

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema wanaomsifia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ndio hao wanaoongoza kwa kumhujumu na kufanya uovu. Mpina ametoa kauli hiyo wakati akiwa ziarani jimboni humo ambapo amebaini ubadhirifu wa fedha za miradi ya ujenzi wa shule...
  3. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Oliver Semuguruka Aungana na Wana Kagera Kumpongeza Rais Samia na RC Kagera

    MHE. OLIVER AUNGANA NA WANA KAGERA KUMPONGEZA MHE. RAIS NA MKUU WA MKOA KAGERA Leo, tarehe 30 Novemba 2024, historia imeandikwa katika Mkoa wa Kagera, ambapo wana Kagera walijumuika kwa pamoja kumpa heshima Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa...
  4. State Propaganda

    Rais wa Ukraine Zelensky eti naye adiriki kumpongeza Donald Trump kwa ushindi

    Kaposti kupitia ukurasa wake wa X. Zelensky "I appreciate President Trump’s commitment to the 'peace through strength' approach in global affairs. This is exactly the principle that can practically bring just peace in Ukraine closer.” Hii ni habari mbaya sana kwa huyu hayawani: lazima akose...
  5. B

    CHADEMA wanazo sababu za kumpongeza Rais Samia kwa hotuba yake badala ya kulalama!

    Kwamba kumbe nini kilitumainiwa? Kwamba Chadema kama ilivyo kwa wananchi wengine wamekuwa wanachukizwa mno na tekaji tekaji hizi? Kwamba Chadema kama ilivyo Kwa wananchi wengine wanaona ni muhimu uchunguzi huru na wa haraka kufanyika sasa? Kwamba Chadema kama ilivyo kwa wananchi wengine...
  6. Cute Wife

    Pre GE2025 Umoja wa Vyama 13 vya Siasa: Tulidhani wananchi wangefanya Maandamano kumpongeza Rais kutoa kauli juu ya utekaji

    Wakuu, Mambo yanazidi kuwa mambo, chawa wengine hawa hapa! ==== Tukadhani jambo hili (utekaji) lipo Tanzania peke yake. Nazungumza haya kwasababu viongozi wenzetu wanasema wanahitaji uchunguzi, watu watoke nje. Huko ambako tunahitaji waje wenyewe huwa wanashughulikia na SMG – Amerika, ni nchi...
  7. Mr Why

    Diamond Platnumz ni Msanii mkubwa duniani, BASATA pamoja TASUBA kuna haja ya kumpongeza kwa jitihada zake za kukuza lugha ya Kiswahili

    Diamond Platnumz ni Msanii mkubwa duniani, BASATA pamoja TASUBA kuna haja ya kumpongeza kwa jitihada zake za kukuza lugha ya Kiswahili Diamond ni kijana wa Tanzania mwenye kiu ya kufikisha mbali Muziki wa Tanzania kuna ulazima wa kila mtanzania kuunga mkono jitihada zake za kukuza muziki wa...
  8. C

    Tetesi: Maandamano ya kumpongeza Ramaphosa kufanyika Mazimbu-Morogoro

    Katika kudumisha uhusiano wa Kimataifa wanachama wa Chama cha Mapinduzi tawi la Mazimbu wanakusudia kufanya maandamano ya kumpongeza mgombea wa chama rafiki ANC Kwa kupata kuchaguliwa Tena kuongoza Taifa la Afrika Kusini. NB: TAREHE 18 Julai 2024, SEHEMU NMB wami Branch - Mazimbu Campus, MUDA...
  9. Valencia_UPV

    Maandamano ya kumpongeza Dkt. Nchemba kwa bajeti nzuri

    Haya ndugu zangu inafaa kumpongeza Dr. Nchemba Kwa bajeti makini ya kuondoa utegemezi na umaskini
  10. Msanii

    Usalama wa Nchi ni jambo tukufu na kipekee sana. Tusibweteke na kumpongeza CDF pekee

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama ametamka wazi akiweka angalizo la uwepo wa wakimbizi ( niseme WAHAMIAJI) kwenye teuzi tena level za maamuzi ndani ya nchi yetu. Nimeona wachambuzi mbalimbali wakimpongeza kwa kuweka wazi angalizo hilo. Nimemsoma mtani wangu kisiasa Yericko Nyerere akichambua...
  11. saidoo25

    Kwanini Nape na Mwigulu waliwahi kumpongeza Nchimbi kwenye mitandao wakati ni wajumbe wa vikao vilivyompita Nchimbi?

    NIMEEJIULIZA swali Nape na Mwigulu ni Wajumbe wa Halmshauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) kikao kilichompitisha Nchimbi kuwa Katibu Mkuu, Swali je kwanini Nape na Nchimbi walijitokeza tena kwenye mitandao kumpongeza hii ina maana gani?
  12. J

    Jeshi la polisi latoa wito kwa wananchi kushiriki maandamano ya kumpongeza Dk. Tulia

    Ni matembezi au maandamano ya kumpongeza Tulia kwa kuchaguliwa kuwa rais wa IPU Wananchi wote mnakaribishwa
  13. L

    Vijana wajipanga kufanya Maandamano ya Amani kumpongeza Rais Samia kwa kutoa Maelfu ya Ajira

    Ndugu zangu Watanzania, Vijana kwa umoja wao na kwa kujitambua pasipo kushinikizwa na mtu wanapanga mikakati ya kufanya maandamano ya Amani Nchi nzima Kumpongeza Rais wetu mama Samia suluhu Hassani kwa namna alivyo fanya kazi kubwa ya kutengeneza na kutoa maelfu ya ajira kwa vijana ndani ya...
  14. K

    Tetesi: Kampeni ya kumpongeza Rais Samia imetumia billion 80. Je, huu sio upigaji?

    Wadau katika kuongea na mdau serikalini ngazi za juu kanitonya kuwa gharama iliyotumia katika kampeni ya kumpongeza Samia inakadiliww kufikia sh Billion 80Tz. Hizi ni Gharama za posho za vikao vya kamati mbalimbali kuanzia ngazi ya serikali na chama Kwenye kata, wilaya, mkoa na Taifa. Gharama...
  15. Replica

    Bunge lasimama kujadili na kutoa azimio la kumpongeza Rais Samia kwa kuimarisha Demokrasia na Diplomasia ya Uchumi

    Mhandisi Ezra Chiwelesa amewasilisha azimio la Bunge kumpongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu kwa kuimarisha demokrasia nchini na kuimarisha diplomasia ya Uchumi. Mhandisi Ezra pia amemshukuru Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kwa kuruhusu na kumpa fursa ya kuwasilisha hoja ya azimio...
  16. Mganguzi

    Mikutano ya kumpongeza Rais imegeuka kero! Sio lazima kila mkoa uandae mkutano wa pongezi, huo ni upigaji

    Inashangaza sana nchi za kiafrika Bado tunaishi Karne ya kwanza! Rais kutimiza mwaka Mmoja madarakani sio hoja ya kufuja pesa za walipa Kodi kwa kuandaa Mikutano Kila mkoa na kukodi wasanii kwa mamilioni ya pesa ili kupongeza kutimiza miaka miwili. Ziko njia nyingi zinazoweza kutumika...
  17. K

    Rais Samia amualika nabii mkuu Geodavie Ikulu ndogo ya Arusha na kumpongeza

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan akiwa mjini Arusha katika ziara yake ya siku chache amemualika Nabii mkuuu GEODAVIE katika Ikulu ndogo ya Arusha na KUMPONGEZA kwa kutoa milion 100 pale Samunge. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kanisani kwake jana, Nabii mkuu...
  18. Lycaon pictus

    Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Nigeria 2023. Bola Tinubu atangazwa mshindi, upinzani wakacha kuhudhuria sherehe za utangazaji matokeo

    Wajuzi wa masuala ya kimataifa. Nigeria wanachagua Rais tarehe 25 mwezi huu wa pili. Nini kinaendelea huko? Nani anauwezekano mkubwa wa kushinda? ======= Siku ya Jumamosi, tarehe 25 Februari 2023, nchi yenye watu wengi zaidi barani Afrika itapiga kura kumchagua rais wao ajaye, Makamu wa Rais...
  19. mtetezi wa MAGU

    Itakulazimu kulewa kumsifia na kumpongeza Rais Samia na itakuhitaji maombi kumuelewa Magufuli

    Waswahili Wanasema kila zama na majira yake,Kwasababu Mh Rais ameruhusu mikutano ya siasa, kwa Lugha nyingine ameruhusu uhuru wakuongea na kutoa mawazo mapya anayoyapenda na hata asiyoyapenda Ungana nami katika kutumia uhuru huo tuliopewa na Mh Mama yetu Samia Suluhu Hasani Rais wa Jamuhuri ya...
  20. K

    Tusione aibu kumpongeza Mbowe na Rais Samia

    Kuna watu wa Chadema ndaki ndaki wanaoenda kupinga kila kitu kiasi cha kumpiga madongo mwenyekiti wao. Kwao ni ule utamaduni wa kulalama tu na wanapata shida kumpongeza Mbowe lakini vilevile hawawezi kupongeza Rais hata kama kafanya mazuri. Lakini kuna kundi la CCM nalo ni kama Chadema...
Back
Top Bottom