kumradhi haitoshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Kumradhi haitoshi! Wananchi tufidiwe tunapokoseshwa huduma stahiki

    Wakuu, Mwananchi akichelewa kufanya malipo au akiharibu kitu hakuna msalia mtume, yaani uwajibikaji ni hapo kwa hapo, sasa kwanini wakitukosesha wao huduma inaishia tu kwenye kumradhi? Uwajibikaji uko wapi? Kwamba sisi ni waelewa sanaaaaa na hasara na usumbufu wote tunapitia hauna maana...
Back
Top Bottom