Wakuu,
Mwananchi akichelewa kufanya malipo au akiharibu kitu hakuna msalia mtume, yaani uwajibikaji ni hapo kwa hapo, sasa kwanini wakitukosesha wao huduma inaishia tu kwenye kumradhi? Uwajibikaji uko wapi?
Kwamba sisi ni waelewa sanaaaaa na hasara na usumbufu wote tunapitia hauna maana...