Rais AMEMTEUA Jaji mstaafu Awadh Mohammed bawazir kuwa mwenyekiti wa mamlaka ya rufani ya zabuni za umma (PPAA) AKICHUKUA nafasi ya Jaji MSTAAFU SAUDA MJASIRI Ambaye AMESTAAFU
Kundi la magaidi la Hezbollah limetangaza kupoteza mawasiliano na aliyetarajiwa kuwa mkuu wake baada ya kifo cha Nasrallah anayefahamika kwa jina la Safi Al din na haieleweki hadi wakati huu alipo!
Hivi karibuni Marekani ilitoa taarifa kuwa, Israel ilimlenga huyo mkuu taraji usiku wa Alhamis...
Katika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa. Huyu ni second in command. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
NB. Hii nafasi Kila member wa...
Huyu anatajwa kuwa ni second in Command na tayari shura ya maulamaa imeshakaa na kumpitisha anatarajiwa kutangazwa muda wowote kuanzia sasa. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
Bakari Machumu - Mkurugenzi Mtendaji Mwanachi Communication Limited
Bakari kwa muda mrefu amekuwa mtu wa watu, mwenye kuielewa tasnia ya habari na zaidi ni kiongozi ambaye ana haiba ya uongozi.
Wasifu wake unajitosheleza tofauti na wengi ambao wakipewa nafasi hii possibility ya kuboronga ni...
Wanabodi,
Nimekutana na hili katika korido za Lumumba kwamba baada ya Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo kujiuzulu, Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa kwenye wakati mgumu kumpata SG wa CCM.
Washauri wake ni kama wamegoma kumshauri ampendekeze nani kwa CC ya chama chake. Ila za chini ni kwamba...
Wamo Mabalozi, Wastaafu, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Vijana Chipukizi.
Kufuatia Katibu Mkuu Daniel Chongolo kuachia ngazi, wimbi la kupata Mrithi limezidi kuongezeka Mtaani huko Dar es Salaam.
Makada wanaotajwa kwa ukaribu kurithi mikoba hiyo ni pamoja na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania...
Kocha Erik Ten Hag yupo katika hatari ya kupoteza kibarua chake ndani ya Manchester United kutokana na matokeo mabaya na kiwango kibovu kinachooneshwa na timu hiyo tangu kuanza kwa msimu huu hasa baada ya kufungwa magoli 3-0 mfululizo na Manchester City na Newcastle United.
Gazeti la The Sun...
Naona ni swala la muda tu tutapewa tangazo hilo,,hasa baada ya Msigwa kuhamishiwa wizara ya habari kuwa katibu mkuu ni wazi Sasa kuwa kikeke hakuacha kazi bure kule London
Mkutano ulikuwa umeitishwa na chama cha siasa cha TLP maarufu kama majogoo leo kuwachagua viongozi wa juu ikiwemo mwenyekiti wa kitaifa umeshindwa kuchagua baada ya vurugu kuzuka kati ya makundi hasimu ndani ya chama hicho.
Polisi waliitwa kutuliza vurugu kisha pande hizo mbili zikakubaliana...
Ramaphosa maji yamemfika utosini. Anytime anakwenda kujiuzulu ama ANC wamvue urais wa Chama (ambapo atakua amepoteza sifa za kuwa Rais wa Afrika Kusini). Tusubiri kukuche.
NB: Hii ndio demokrasia
Inadaiwa kuwa klabu hiyo ya Aston Villa ipo katika mipango hiyo ya kumuwania Mauricio Pochettino kutokana na matokeo mabaya ambayo wanayapata chini ya Steven Gerrard.
Gerrard amekuwa katika wakati mgumu na mashabiki wa Villa wameanza kumgeuka, ambapo timu yao inashika nafasi ya 16 katika...
Waziri wa Nishati, Januari Makamba ametajwa na gazeti la Raia Mwema kuwa anapigiwa chapuo la kupewa nafasi ya Waziri Mkuu inayoshikiliwa na Kassim Majaliwa.
Kama watanzania tunadhani ni viongozi gani zaidi ya Makamba wanazosifa za kuwa Waziri Mkuu?
"Kila Matokeo ya Mitihani yakitoka Wizara ya Elimu akina Mkenda huniletea Vitabu vikubwa pamoja na Flash hivyo nikiiweka tu katika Computer yangu Kwanza huanza Kuangalia Kwetu Mkoani Kusini Unguja kisha nikiona huwa nasema Mama yangu ni nini hiki? Yaani Mkoa anaotoka Rais ndiyo unaongoza kila...
Tumeona ,Msonde kawa promoted to TAMISEMI, (kwa mtazamo wangu hii ni demotion)
Swali la kujiuliza kwanini aondoke MITIHANI YA A LEVEL NECTA ikiwa inaendelea?
Je, kwa mtazamo wako unadhani Nani ni sahihi Kumrithi, Msonde NECTA?
Mimi, nampendekeza Mr.Mbwaga,Innocent (Ana deserve),atafanya...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza kuachia uongozi wa chama mwaka 2023
Pia, amewataka viongozi wa chama hicho Kanda ya Magharibi kutodumazwa na changamoto zilizojitokeza katika uchaguzi uliopita bali wajipange upya kudai na kusimamia haki
Rais wangu Samia Suluhu Hassan nitafurahi mno kama ukikataa CDF General Mabeyo asistaafu sasa bali nakuomba muombe umuongezee muda mpaka 2025 na ikiwezekana pia nenda nae hadi 2030 ikikupendeza.
Ameliheshimisha JWTZ na ni Jemedari sahihi, makini na aliyetukuka kabisa.
Tafadhali usiiache hii...
Habari wakuu,
Kwa hali inavyoendelea hvi sasa, naona Kuna cheche za chini chini kwamba mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anaweza kujiuzulu uwaziri mkuu au kupigwa chini baada ya mh Rais kusema atabadili Baraza la Mawaziri. Binafsi napendekeza watu wafuatao wanaweza kushika vzuri nafasi yake na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.