Habari wakuu,
Haya sio masikhara nimemaanisha na nipo tayari kwa galama zozote zile na hata atakaenipa connection nikalifanikisha hili nitampa zawadi nzuri sana.
Huyu jamaa alikuwa rafiki yangu, miaka 7 nyuma tumesaidiana nae mambo mengi sana miaka hiyo katika kuhustle na maisha kipindi hiko...