Club ya Real Madrid ya Hispania imetangaza rasmi kuwa imefikia makubaliano ya kumsajili Kylian Mbappe kwa mkataba wa miaka mitano.
Mbappe anajiunga na Real Madrid baada ya kucheza PSG kwa miaka 7 toka pale alipojiunga nao 2018 akitokea Monaco kwa uhamisho wa euro milioni 180 ambapo hadi...