kumshitaki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Unaweza kumshitaki mtu alikugongea mlango kwa Fujo ukiwa ndani?

    Kuna mtu anakusanya takataka Sasa Leo amekuja kwangu ananigongea mlango kwa Fujo sana je naweza kumshitaki?? Ikiwezekana anilipe?? Mana natumia kama fursa ya kupata hela je inawezekana???
  2. mr pipa

    Kanitapeli na katuma watu wanivamie. Nimchukulie hatua gani?

    Huyu jamaa yangu kamtuma mtu kunifanyia utapeli nikamstukia baada ya kushindwa hizo mbinu kaandaa watu wavamie nyumban kwangu waniibie na hizo taarifa nazipata kupitia watu wake wa karibu. Je, nichukue hatua gani kwa mtu kama huyu?
  3. Mkushi Mbishi

    Naanzaje kumshitaki kiongozi wa kanisa kupitia vitengo vyao vya kanisa ikiwa ameninyanyasa, kunipora vitendea kazi na kutishia kuniuwa?

    Habari za majukumu wapendwa,jambo hili linanitesa sana nafsi yangu,limeharibu maisha yangu yote kiujumla,sasa hata kuilea familia yangu yenye mke na watoto wanne imekuwa ni ngumu sana kutokana na kiongozi huyu wa dini kuchukua kitendea kazi changu kikuu katika ofisi yangu(ni mwaka takribani wa...
  4. AccomplishedEntrepreneur

    Nimejipanga kumshitaki Mwajiri wangu CMA

    Mimi nilikuwa mwajiriwa private sector ila mwajiri hakulipa mshahara kwa miezi mitatu mfululizo nikaamua kutoka pale Katika barua yangu ya kutoka pale sikusema kama najiuzulu maana kikanuni mkataba ulivunjika muda alipoacha kulipa mshahara mmoja tu achilia mbali miezi mitatu mfululizo. Nilimpa...
  5. C

    Kumshitaki mhitimu

    Good morning wapendwa,,, Naombeni msaada wa kisheria katika Hili. Kuna mtu nimekutana nae na kufahamiana nae. Elimu yake ni ngazi ya diploma(uhasibu) lakini ufaulu wake KIDATO Cha nne ni daraja la nne pointi 28. Matokeo haya yanajumuisha "F" ya hesabu. Pamoja na matokeo hayo, Bado hawezi...
  6. R

    Baba wa Mwimbaji wa Injili aliyeimba "Mnatuona Nyani tu" ahukumiwa miaka 3 jela kwa kuendesha Kanisa bila kibali

    Mchungaji Mwakipesile ambaye mtoto wake Sifa Bujune alikamatwa kwa kosa la kusambaza uongo kwa kuimba wimbo wa "Mnatuona Nyani tu" amehukumiwa miaka mitatu jela kwa kosa la kuendesha kanisa bila ya kuwa na kibali. ================== ================== Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile (39)...
  7. M

    Waziri Ndumbaro acha kupotosha umma, Tunataka Katiba Mpya iwe na uwezo wa kutatua changamoto zetu. Ikiwezekana kumshtaki Rais na Mawaziri

    Huko Usa haki zikivunjwa unaenda mahakamani na mahakama ipo hutu
  8. comte

    Mahakama ya juu Kenya: Huwezi kumshitaki Rais aliyeko madarakani, ni kinyume cha Katiba

    Kwa kuwa jirani na Kenya na kushuhudia yanayotokea itakuwa ni vigumu sana porojo za katiba mpya kueleweka, kukubalika, na kushabikiwa na wananchi wenye akili timamu. ===== Chief Justice Martha Koome led six other judges of the Supreme Court in declaring that the President enjoys immunity...
  9. abdul jaffer

    Jinsi gani ya kumshitaki mjeshi anayesumbua wananchi?

    Mambo vip jman Ni nani anajua jinsi ya kumshtaki mwanajeshi anaesumbua wananchi nipo huku naona Mzee anaonewa kweli Mzee anaumri wa miaka 66 anarukishwa kichura chura uraiani.
  10. Cannabis

    Raia Mwema: Makonda Kibarua kizito, wengine wajitokeza kumshitaki

    Gazeti la Raia Mwema limeripoti kuwa watu wengine wamejitokeza kumshitaki aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Mfanyabiashara mmoja amenukuliwa na gazeti hilo akisema "Makonda ametufanyia mambo mengi kinyume na sheria za nchi. Kuna wakati baadhi yetu, tulijaribu kumshitaki...
  11. Etwege

    Clouds Media: Hatuhusiki na kumshitaki Makonda

    Mtangazaji Mwandamizi wa Kituo cha Clouds Media Sam Sasally Amesema Kuwa Kituo Cha Clouds Hakihusiki na Taarifa zilizosambazwa Kwenda Kumshtaki Mahakamani Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw PAUL MAKONDA Akichambua Taarifa Iliyoandikwa Katika Gazeti la RAIA MWEMA Inayosema Wakili wa...
Back
Top Bottom