kumshukuru mungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Setfree

    Faida 10 za kumshukuru Mungu

    Tarehe 31 Desemba ni siku ambayo watu wengi hukusanyika makanisani kumshukuru Mungu. Zifuatazo ni faida 10 za kumshukuru Mungu: 1. Huimarisha Imani: Kumshukuru Mungu hutufundisha kutambua uaminifu Wake na kuimarisha imani yetu, tukijua kwamba anafanya kazi kwa manufaa yetu. 2. Hutupa Amani ya...
  2. Yoda

    Kwanini watu wanamuomba na kumshukuru Mungu? Wasipofanya hivyo matokeo yake ni nini?

    Kwa nini Mungu anataka binadamu wamuabudu, wamuombe, wamtolee sadaka na kumshukuru? Kama unaamini Mungu yupo ni dhambi usipomuabudu, usipomuomba au usipomshukuru? Yani kama unakubali yupo lakini haufanyi ibada au shukrani yoyote kwake wewe unahesabika ni muovu? Atakufanikishia mambo yako? Kwa...
  3. R

    Katikati ya vitendo viovu, mauaji na utekaji, tuendelee kumsifu na kumshukuru Mungu

    Salaam, shalom!! Nitumie fursa hii kuwatia moyo ndugu zangu Watanzania wenzangu kuwa, haya tunayoyapitia ni ya Muda tu, kama ambavyo Kuna usiku mnene, Giza Totoro, tukumbuke kuwa Giza ni la muda tu, KUTAPAMBAZUKA na Nuru itaonekana tena, Kodi zetu ndizo zinatumika kuwalipa waovu Kuteka...
  4. Etugrul Bey

    Siku zote hesabu baraka zako

    Kuna mwamba ambaye alipotea baharini akiwa safarini kwa mda wa mwezi mmoja,alipoulizwa ni kitu gani ambacho ulikihitaji sana wakati wa changamoto yako ya kupotea,alijibu ni maji na chakula Naam,wakati mwingine huwezi jua baraka zako mpaka pale zinapokupotea,ndo unajua khe kumbe maji nayo baraka...
  5. Pang Fung Mi

    Msimu huu hakuna Ukame wa kutisha. Kuna haja ya kumshukuru Mungu kama Taifa, na katika dini zetu za aina zote

    Asante Muumba wa Mbingu na Ardhi 🙏🙏🙏 Napenda kuchukua fursa hii kuwasihi sisi sote kama Taifa na wananchi, wanajamii kwa Imani zetu zote tumshukuru Mungu kuzuia Ukamue msimu huu wa mwaka 2023-2024. Asante Mungu wetu 🙏🙏🙏 Ndimi mwanao Wadiz
  6. Leejay49

    Kama umezaliwa bila ulemavu wowote usiache kumshukuru Mungu hata mara moja kwa siku

    Signed out forever
  7. Lavit

    Kama kuna mtu ananufaika na huu uhai basi ni huyo aliyetuumba!

    Kuna uzi uliwekwa humu kuhusu mambo mema ambayo wametendewa na Mungu, cha kushangaza wengi walianza kushukuru kwa kupewa uhai. Mimi kwa mtazamo wangu sidhani kama uhai una faida yeyote kwa aliyeumbwa na kupewa kinachoitwa uhai. Hata ingetokea asingepewa huo uhai hakuna hasara yeyote angepata...
Back
Top Bottom