Wakuu,
Yapata miaka miwili iliyopita tangu niamue kuachana na binti niliyempenda sana.
Ilikuwa hivi....
Binti alikuwa anasoma kidato cha nne mwaka huo,ikatokea nimempenda sana,nikaanza nae mahusiano,mpaka ikapelekea wazazi wake watambue hilo
Baba na mama wa binti na wazazi wangu...