kumtafuta ndugu aliyepotea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Namtafuta ndugu yangu anaitwa Ester Wilbard

    Ndugu yangu anaitwa Ester Wilbard, nilipotezana nae mwaka 2012 akiwa Katoro Geita, alikua anajihusisha na kazi ya mama ntilie ila kwao ni mzaliwa wa Ngara. Lengo la kumtafuta aliacha mtoto wake mdogo sasa hivi kawa mkubwa anatamani kumuona mama yake. Kama kuna mtu anamfahamu au anafahamu...
Back
Top Bottom