kumtambulisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Balqior

    Wanaume ushawahi kuwa na girlfriend ambaye unaona aibu hata kumtambulisha mbele za watu

    Habarini, Katika harakati za kutongoza kama mwanaume unaeza jikuta wanawake wa type yako hawakutaki, unaishia kupata ambao sio type yako. Ili kutoa ukame, una date na mdada asie type yako, ila hata kumtambulisha kwa ndugu na marafiki kama huyu ni girlfriend wangu, unaona aibu, hata kuongozana...
  2. sinza pazuri

    WCB Wasafi wanaenda kumtambulisha msanii mpya November 2023

    Linaletwa balaa jipya mjini, naweza sema ile kiu ya kuona wasanii wetu kwenye majukwaa mazito kama kima Rema sasa inaenda kukatwa. Topnotch talent sio mbambamba. Let's count God bless WCB
  3. Money Penny

    Mpenzi wangu ni mfupi, naona aibu kumtambulisha, nifanyaje?

    Binti: money penny, Mimi nimepata bwana, nimekuwa nae kwenye mahusiano Kwa muda WA MIEZI 3 sasa kwa Siri Kwa maana, sijawahi kumtambulisha Kwa ndugu, jamaa hata Marafiki zangu naona aibu sababu ni mfupi Money penny: kwahiyo unasemaje? Binti: Naogopa kuchekwa na watu, maana ni mfupi Yuko usawa...
  4. JanguKamaJangu

    Feisal Salum (Fei Toto) na Yanga kimeeleweka, kutambulishwa Azam muda wowote

    MWANASPOTI linajua kabla ya jua kuzama leo Jumatano Juni 7, Feisal Salum 'Fei Toto' atatambulishwa rasmi ndani ya Azam. Licha ya Azam kufanya siri, lakini Mwanaspoti linajua klabu hiyo ilimalizana na Yanga jana jijini Dar es Salaam baada ya kikao kizito cha pande zote mbili. Hatua hiyo imekuja...
  5. Zingzingzing

    Nina mahusiano na mwanamke fulani, lakini kauli hii aliyoitoa mzazi wangu inanipa wasiwasi kwenda kumtambulisha

    Habari za usiku wana JF, Niende kwenye mada moja kwa moja, nikuwa ninamwanamke ambaye nampnda sana, na bila shaka nataman nianze nae maisha kama mungu akijalia. Huyu mwanamke amewai kuzaa miaka 5 iliyopita, anamtoto, alizaa akiwa na 17 yrs, japo hawasiliani na baba wa mtoto na waligombana...
  6. Chizi Maarifa

    Simba mwaka Huu wasahau FA na NBC PL. Wasahau kabisa. Tena kwa kumtambulisha Coach Mwingine

    Hapa wameshajiharibia. Nimefurahi sana maana wanaenda mfukuza huyu kocha muda si mrefu. Atabaki tena Mgunda na Matola. Ndo nawaaambia hivyo. Wachezaji watamnyima ushirikiano. Atabaki peke yake. Wachezaji wengi ni Royal kwa Matola na Mgunda kwa baadhi. Hawajapenda kocha mpya watamuaibisha mbaya.
  7. S

    Baada ya kumchuna miaka 3, nimekula dili na mama amkatae siku ya kumtambulisha

    Nikiwa na miaka 21 kuna mwanaume mtu mzima (39) amekuwa akionesha nia ya dhati ya kutaka kunioa. Mm nilimpa masharti kuwa siko tayari kwa ndoa lkn akaning'ang'ania. Nikawa mtoto wa kike nikikohoa tu muamala unasoma, nikilia shida muamala unasoma na nikiwa na uhitaji wowote ule muamala unasoma...
  8. T

    Shaka kumtambulisha Chongolo kwa cheo cha "Doctor" ni ulimi uliteleza au pana ukweli?

    Kwa hatua za awali kabisa nimeanza kuona wasiwasi alionao ndugu msemaji wa Chama mpaka kufikia hatua ya kumtambulisha Chongolo kama dokta na madokta wa kweli kutambulishwa kama ndugu tu. Kwa tunaofahamu historia ya Ndg. Chongolo tumepata wasiwasi kuona utambulisho huo. Je, kuna kilichofichwa...
  9. Greatest Of All Time

    Simba kumtambulisha kocha wake saa mbili usiku huu

    Kupitia ukurasa wa klabu ya Simba kwenye mtandao wa Twitter, wametangaza kuwa usiku wa leo saa mbili watamtangaza kocha mpya! Hivyo mashabiki wakae mkao wa kula!! Unahisi kocha wa Simba atatoka nchi gani?
  10. N

    Uto kumtambulisha Prince Dube, Tshabalala na Jopo la makocha wa Ufaransa

    Mnaombwa wote wana utopolo msikose jumapili kutakuwa na suprise kubwa sana anashuka prince Dube, Siphiwe Tshabalala legendary wa south africa na jopo la makocha kutoka team ya Auxerre ya ufaransa Wote hao wameomba kujiunga na team hiyo baada ya kufurahishwa na ujio wa msemaji mpya ambaye...
  11. Erythrocyte

    Kumtambulisha Nusrat Hanje kama mwakilishi wa BAVICHA huko Nyamagana ni uongo wa wazi na ni kumdanganya Rais Samia

    Kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kumtambulisha Nusrat Hanje kama kiongozi wa Bavicha, na kwamba ule ndio uwakilishi wa vijana wa Chadema kwenye Mkutano wa Rais na Vijana huko Nyamagana Mwanza ni kumpiga changa la macho Mh Rais .BAVICHA haikuhudhuria mkutano huo na wala haikutuma mwakilishi...
  12. Gustavo Gaviria

    Ulipata changamoto gani katika kumtambulisha mwenza katika familia yako?

    Wakuu tupo pamoja. Mimi hapa nina mwanamke mmoja bwana ana mtoto mmoja ila sio wangu nataka kumuoa, nimeridhia kabisa na nimempenda mwanamke licha ya kuwa na mtoto, ila kipengele kinakuja kwenye familia sidhani kama watanielewa! na hata kama watanielewa sidhani kama watatoa ushirikiano...
Back
Top Bottom