kumteua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakili wa Kujitegemea, Joseph Mahando:Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakikukiuka Katiba wala sheria yoyote kwa kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombe

    Wakili wa Kujitegemea, Joseph Mahando, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakikukiuka Katiba wala sheria yoyote kwa kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wake wa Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.Akizungumza kuhusu mjadala ulioibuka kuhusu uhalali wa mchakato huo, Wakili Mahando...
  2. Pre GE2025 Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewasilisha hoja kwa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mwenyeiti wa chama hicho, Rais Samia Suluhu Hassan awe mgombea urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Pia, Kimbisa amesema Makamu Mwenyekiti Zanzibar wa CCM, Dk...
  3. Huyu Meneja wa TRA Tanga kuipongeza CCM Kumteua Rais Samia kugombea Urais 2025 inaruhusiwa katika Sheria za Utumishi wa Umma na ni rukhsa Kikatiba?

    Kwa wale Wote ambao leo Asubuhi tulitizama Jambo Tanzania na TBC1 nadhani tulimuona Meneja wa TRA Mkoa wa Tanga alipokuwa akimpongeza Rais Samia kwa Siku yake ya Kuzaliwa leo na baadae akaenda mbele na kusema kuwa anakipongeza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Kumpitisha Rais Samia kugombea Urais...
  4. Hakuna Rais wa Tanzania aliyewahi kumteua Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji wa Mahakama yoyote hapa nchini, awe mkweli asipotoshe

    Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja. Katika orodha ya majaji wa nchi hii...
  5. Rais Fikiria Kumteua Awadhi Kuwa Balozi Palestina

    Mtu kuweza ku-perform vizuri ni pale unapompa kazi inayoendana na hulka yake. Maadam afande Awadh kila alipopita inaonekana ni mtu mwenye hulka ya kupenda kupigana, hulka ya kutotaka kutumia akili wala weledi, bali nguvu, huyu anaweza kuitendea vema hulka yake akiishi sehemu ambayo kuna...
  6. Asante Rais Samia Kumteua Prof. Assad, ni Mkweli, Atakusaidia Sana Kukuambia Ukweli, Tatizo Viongozi Wengi Hawapendi Kuambiwa Ukweli, Je Uko Tayari?.

    Wanabodi Moja ya mapungufu makubwa ya viongozi wetu ni hawapendi kuambiwa ukweli, matokeo yake ni wasaidizi wao wengi kuwaogopa ma boss wao na kuishia kuwa machawa, hawamwelezi Rais Ukweli, kama wale wasaidizi wake machawa wa sheria, sio tuu hawajamwambia ukweli kuwa katiba yetu imenajisiwa...
  7. Mangungu atoa kauli sakata la Try Again kumteua MO kuwa Mwenyekiti Bodi ya Simba

    Yeye Try again kama amejiuzulu sawa hayo ni matakwa yake Binafsi, Ila Sisi wenye 51%ndio tutachagua Mwenyekiti mpya wa kufanya nae kazi hata huyo Mo mwenyewe hana maamuzi ya kuteua Mwenyekiti Tuheshimu katiba. © MANGUNGU 🙌
  8. R

    Rais Samia alifikiria nini kumteua Makonda? Alikuwa ana lengo gani?

    Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally, Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons." Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda? Any...
  9. Simba ilitumia kigezo gani kumteua cadena ? Wakati akiwa Azam ,magolikipa wa azam moja ya makipa wa bovu ligi ya nbc!!

    Huyu Cadena Kunawatu wamempenyeza aje aivuruge simba kisawasawa. Aliivuruga azam vilivyo. Na sasa kaachiwa timu. Na toka atoke Azam makipa wa Azam wanakuwa bora kila siku. Figisu zimepungua sana. Alipokuwa kule makocha walikuwa hawakai kabisa. Aliachiwa timu kwa muda Kali Ongala Timu...
  10. S

    Katika jambo la ovyo na la aibu amefanya mwenyekiti wa CCM ni kumteua Makonda kuwa Katibu Mwenezi wa CCM

    Huyu rais na mwenyekiti wa CCM ni kwamba kuna watu wanamwendesha km gari bovu au ni akili yake. Km ni kuendeshwa kwanini akubali akili zake hazimtoshi? Aibu atakayoipata kumteua huyu bwana hatakaa asahau. Kwanza tukubaliane Makonda ni miongoni mwa wale binadamu wenye akili ndogo sana hapa...
  11. Ni kosa kubwa sana la kiufundi kumteua Paul Makonda kuwa Mwenezi wa CCM Taifa

    Huenda ni kwa kutotathmini au kushauriwa vibaya kwa CCM kumpendekeza Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, hili litakigharimu kwa kiasi kikubwa sana. Hii ni nafasi ya kukisemea chama kwa wananchi na siyo kwenda kulazimisha baadhi ya viongozi wa Chama na Serikali kufanya kazi...
  12. Naenda Lusaka nawaachieni Mpoteze muda kujadili Kuwauzeni Kimkakati miaka 30 na Kumteua Makusudi Msiyompenda na nikirejea nafanya M Reshuffle nyingine

    Kikubwa nafanya Makusudi tu ili niwachanganyeni kwani mnajjfanya mnapenda Mijadala, Kunijadili, Kunidharau na Kutoniamini huku mkinisema kuwa nimeshikiwa Akili na Smile King Maker hivyo sasa mtakula Jeuri yenu.
  13. Rais Samia Atoboa Siri ya Kumteua Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu

    Rais Samia ‘atoboa siri’… aeleza sababu zilizomfanya amchague Dkt. Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu. Ameyasema hayo wakati akizindua vifaa vya uchimbaji madini kwa ajili ya kuimarisha STAMICO na wachimbaji wadogo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete - Dodoma.
  14. Zimbabwe: Upinzani wamshutumu Rais Mnangagwa kumteua mwanaye na mpwawe Baraza la Mawaziri

    Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa ameshutumiwa kwa upendeleo baada ya kumteua mwanawe katika baraza jipya la mawaziri kufuatia kuchaguliwa tena kwa uchaguzi wenye utata mwezi uliopita. Bw. Mnangagwa Jumatatu alimtaja mwanawe, David Kudakwashe, kama naibu waziri wa fedha kama sehemu ya mgawo...
  15. U

    Tundu Lissu amshangaa Rais Samia kumteua Alexander Mnyeti kuwa Waziri. Asema hana uadilifu

    Ni leo J'pili tarehe 3/9/2023 alipokuwa akiongea na wananchi katika Kijiji cha Kiabakari - Butiama mkoa wa Mara katika mfululizo wa mikutano ya CHADEMA katika OPERESHENI +255 KATIBA MPYA, OKOA BANDARI ZETU - Tanganyika. Video: By Mwananchi Digital -- Rais Samia ameteua Baraza la Mawaziri...
  16. Kikatiba Rais Samia yuko sahihi kumteua Naibu Waziri Mkuu

    Nawasalimu Waungwana wa JF, Mwanzo mwanzoni nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa uhai na afya anazotujalia hata kuendelea kupashana habari za hapa na pale kupitia mtandao wetu huu pendwa wa JamiiForums. Hivi punde, Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko kwenye Baraza la Mawaziri...
  17. Je, Rais kavunja Sheria ya Usalama wa Taifa ya mwaka 2023 kwa kumteua aliyekuwa Mkurugenzi wa Usalama kuwa Balozi?

    Nawasalimu Kwa jina la JMT...🇹🇿 Jana katika pita pita zangu nilikutana na Taarifa kutoka ikulu ikisema kuwa Rais amemteua Bw Hussein Massoro Kuwa balozi na kumuweka Balozi Ali Idi Siwa kuwa DG mpya TISS. (kongole kwake). Japo jambo hilo lilizua mijadala mingi ikiwemo uwepo wa Tengua tengua Ya...
  18. Rais Samia Kumteua Mkuu wa Zamani wa Kudhibiti Dawa za Kulevya, Kuwa DC Tanga, Kunatoa Taswira Gani

    Usiku wa jana Jumapili tarehe 2 Julai 2023, Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais ilitoa habari ya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Wilaya. Moja kati ya mabadiliko yaliyozua gumzo mitaani na mitandaoni ni Uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mjini ambapo Rais Samia Suluhu Hassan amemteua James Wilbert...
  19. Njia ya kumteua Makamu wa Rais kupitia ccm iangaliwe upya ina kasoro

    Namna ya kumpata Saa100 mwaka 2015 kupitia ccm kuna mahali ccm walibugi step. Hii mikataba tunayoiona ikisaini Dubai na kutoa bandari zote kwa kampuni moja hata hatujui bodi members wake ni akina nani?inatokana na namna ailivyopatikana kupitia ccm.
  20. K

    Ushauri: Raisi Samia mbadilishe Judge Francis Mtungi kwa kumteua IGP Mwema Ret

    Natoa ushauri kwa Raisi judge Francis Mutungi hataweza kukubaliwa na wadau hasa wa upinzani na anaonekana kama chawa kuzidi hata Judge. Kwenye kutengeneza katiba ni lazima uanze na team mpya ambayo wananchi wataiamini. Kwasababu majaji wengi kwa sasa wanaonenakana kama hawaaminiki isipokuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…