Habari wana JamiiForums,
Poleni na majukumu ya hapa na pale, kuna ile changamoto huwa inatokea, upo zako na mpenzi wako mnapiga story za hapa na pale, lakini Kwa bahati mbaya, ghafla tu!
Baadala ya kumuita jina lake Mpenzi ambaye upo naye wakati huo, lakini unajikuta unamuita kwa la jina...