Anasisitiza kwamba no reform no election.
Akiulizwa mtasusia uchaguzi? Anakataa kwa nguvu zote kwamba chadema haiko tayari kususia uchaguzi.
Akiulizwa ni lini mtatangaza jina la mgombea wenu, anasema huwezi kuendelea kutangaza mgombea wakati umesema no reform no election.
Utata unakuja namna...
Ukiachana na nyimbo ya "chibonge" "dar kugumu" na "mi amor" hakuna nyimbo ya huyu jamaa niliwahi kupenda wala kuelewa
Anaimba takataka tupu!
na wanaopenda nyimbo Zake tofauti na nilizo orodhesha mimi nao naona Hawana akili tu(kidding)😄
Povu ruksa ila hakikisha una uhakika wa kula January nzima
Nilimtii, sikumsumbua hata kidogo ila sikumsikiliza na nilimuogopa kuliko kumuheshimu.
Kama baba typical wa kanda ya ziwa ushajua nyumbani ni mwendo wa kwata. Ila alikuwa ananiandaa.
Nilijua ana agenda ya chuki dhidi ya mama, sikujua saikolojia ya mwanamke inamfanya mwanaume anakuwa paranoid...
Kuna wanawake wawili niliwahi kuwatokea wakati huo kwa kipindi tofautitofauti wakati nikiwa single sababu niliona ni watu sahihi
1.Nilimwambia dhamira yangu kweli aliniambia kwamba ana mtu wake, na alibaki na msimamo huo basi nikapunguza mawasiliano lakini tangu wakati huo lazima atanitafuta...
Makonda kwa sasa anafanya kazi za Taasisi nyingi
Anasaidia Majukumu ya Wabunge
Anasaidia Majukumu ya Mahakama
Anasaidia Majukumu ya TAKUKURU
Anasaidia Majukumu ya Polisi
Anasaidia majukumu MENGI MENGINEYO
ANAFICHUA MENGI YALIYOLALA
Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema;
“Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku...
Tuliosoma vyema Somo la Critical Thinking / Logical Reasoning Chuo Kikuu changu cha Geniuses watupu nchini cha Saint Augustine University of Tanzania ( SAUT Mwanza 'We Build the City of God' ) mwaka 2009 tumemuelewa Waziri wa Ardhi Jerry Slaa katika Angles zifuatazo....
1. Kusema Kwake kuwa...
Kwa ufupi anacho kisema Papa ni kwamba mfumo wa maisha ya dunia upo karibu kubadilishwa kuwa juu chini.. Kama vilevile shetani alivyo sababisha kubadilishwa kwa mfumo wa dunia ya Adam na Hawa kupitia forbidden fruit.
Kabla Adam na Hawa hawajala Tunda, mfumo wa maisha ya dunia ulikuwa...
KAZI MAALUM #1 (ULAYA)
Mwambie Boss wako mwenye Machale ya Kukamatwa nasi atulipe Chetu haraka vinginevyo utakaa huku hata mwaka na Wajukuu zako Wanaokupenda walie mpaka Macho yao yawatumbuke sawa?
KAZI MAALUM #2 (AFRIKA)
Jengo Ndege Tai (JNT) ili kufunika hii Aibu kwa nchi na Taifa na...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Joseph Mbilinyi bado yuko Chunya kwa ziara ya kikazi, ambako ameendelea kuelimisha Wananchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya ambayo itazaa Tume huru ya Uchaguzi.
Sugu ambaye sasa anajulikana pia kama Jeshi la Mtu mmoja, anashangaza wengi kutokana na uwezo wake wa...
Hivi mwanaume unakuwaje hueleweki, ulikua na crush na mdada wa watu mwaka mzima mkavunja ukimya mkawa kwenye mahusiano.
Badae unaanza kubadilika unapunguza mapenzi, mwenzio anakuuliza kwanini unabadilika, unadai unaogopa udate naye hata miaka mitatu alafu usimuoe, na mtu hata hajakuambia...
Julius Kambarage Nyerere nilimuona mara nyingi akihutubia pale ikulu Dar miaka ile ya 1980 mwanzoni. Alijaliwa ushawishi katika hoja zake. Siku moja alihutubia kwa muda mrefu kidogo halafu ndege ikawa inakatiza juu angani, akasema Mungu ameileta ile ndege ili mimi nimalize kuhutubia!, wote...
Mwanzo nilikuwa simuelewi elewi huyu mama, lakini mpaka sasa nimemkubali ni zaidi ya kiongozi!
Haya ni mambo ambayo yanathibitisha kuwa uongozi ni hekima Wala sio mihemuko
1: Ni mpenda haki/ anapenda haki
2: Ni msema kweli na muwazi
3: Sio mtu wa kuchukulia Jambo kwa haraka (sio mtu wa...
Waswahili Wanasema kila zama na majira yake,Kwasababu Mh Rais ameruhusu mikutano ya siasa, kwa Lugha nyingine ameruhusu uhuru wakuongea na kutoa mawazo mapya anayoyapenda na hata asiyoyapenda Ungana nami katika kutumia uhuru huo tuliopewa na Mh Mama yetu Samia Suluhu Hasani Rais wa Jamuhuri ya...
Habari wana JF, Tanzania tangu kupata uhuru imetawaliwa na viongozi wengi sana lakini changamoto za watanzania ni zile zile .
lakini kiuhalisia kwa nchi kama Tanzania yenye vyanzo mbali mbali vya mapato hatutegemei mpaka leo changamoto hizo ziwepo.
hii ina maana watanzania wengi na viongozi...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camillus Wambura, ameahidi kushughulika na yeyote ambaye atakuwa na vitendo vyovyote ambavyo ni kinyume na maadili na kinyume na matendo mema ya Watanzania.
“Nitoe rai kwa mtu yeyote ambaye anadhani anaweza akaleta aina yeyote ya vitendo vya uvunjifu wa...
Nina mpenzi wangu week mbili zilizopita aliniomba ruksa kuna msiba mtaani kwao ambako amezaliwa na amekulia kuna kijana mmoja alikuwa amefariki kwa ajari basi nikamruhusu akaenda nami pia akaniomba nimsindikize tukaenda wote.
Sasa tangu huu msiba umalizike mpenzi wangu amekuwa ana huzuni sana...
Wanajamvi,
Waswahili walisema chelewa ufike. Na pia Bora nusu shari kuliko shari kamili.
Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kwa Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu kwa hatimae kumuelewa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na Amir jeshi mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.