kumuona daktari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbunge Jumanne Kishimba: Kwanini wananchi walipe pesa ya kumuona daktari wakati wananchi walijenga kituo cha afya wenyewe?

    Naungana na Kishimba, Bora kuchangia gharama za dawa, vifaa tiba kuliko hii wanaita consultation fee, huu ni wizi sawa na Kulipishwa unapoingia stendi kukata Tiketi. Hongera Kishimba Kwa hoja murua, unawashinda Hadi wanaojiita Wapinzani hawana hata kitu wanachoweza kusimama nacho Kwa Wananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…