Ernest George (37), amepandishwa kizimbani na kusomewa shitaka la mauaji ya kukusudia ya dereva, Majuto Seif.
George, ambaye ni Mchungaji wa Kanisa la Tanzania Assembly of God (T.A.G), maarufu Mchungaji George amesomewa shitaka katika kesi ya mauaji namba 19830/2024, leo Jumatano Julai 17, 2024...