https://www.youtube.com/live/98PbB_z9DZo?si=ErMXG6DXe_NNGU6_
Hawa watu wanaomwambia Mbowe hadharani kuwa amechoka sio wajinga wasikilizwe wamekuwa wengi huenda Wana hoja.
Huenda Mbowe akishinda CHADEMA itageuka kuwa kama CUF,TLP au NCCR,
#WAJUMBE KULENI YAMINI MKINUSURU CHAMA NA KIFO CHAKE
===
Wakati zikiwa zimesalia siku chache kuelekea uchaguzi wa mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wajumbe na viongozi wa chama hicho mkoa wa Tabora wameazimia kumuunga mkono mgombea wa nafasi hiyo Tundu Lissu, na kubainisha kuwa wanataka kiongozi mchapakazi kwa maendeleo...
Kuna haja washauri wa Mwenyekiti Mbowe kumshauri upya.
======
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Jimbo la Ukonga jijini Dar Es Salaam, Gaston Makweta pamoja na Katibu wa Jimbo hilo Robert Nyambuya wametangaza kumuunga mkono Makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho Tundu Lissu katika...
Kama Kuna kitu BAWACHA wamepata na wanapashwa kujivunia basi ni huyu Mama,
Kwa ujasiri alionao huyu mama ni kama Simba Kweli Kweli hakika ni Mama anayestahili kufanya kazi na jasiri TUNDU LISSU.
BAWACHA MUNGU AWAONGOZE VEMA
Wajameni!
Lema leo ametema cheche zake katika kuelekea uchaguzi wa CHADEMA taifa. Na ameonyesha kummunga mkono Tundu Lissu
====================
Na nikigundua kwamba mimi kuwa mwanachama wa chama hiki CHADEMA kwa maamuzi haya (kumuunga mkono Lissu) ambayo ni ya kidemokrasia sana yatawakwaza...
Godbless Lema amepanga kuzungumza na Waandishi wa Habari Januari 14, 2025 ifikapo saa 5:00 Asubuhi Seashells Millennium Hotel.
Je, atamuunga mkono Tundu Lissu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.