Mapenzi kuvunjika ni sehemu ya kawaida kabisa kwa maisha ya sasa lakini kuna jambo la kuzingatia hapa.
Mapenzi huwa yanauma sana pale ambapo mwenza wako anaondoka anakuacha ghafla ukiwa mpweke kipindi kigumu sana kwako kama vile anakuacha umepauka, unanuka jasho, umefubaa, unavaa nguo zimechakaa...