Nashindwa kuelewa Yanga kunani? Form ya timu yetu imeshuka sana. Huku wenzetu wakizidi kupata kasi. Kocha Nabi sidhani kama ana shida, bali wachezaji mliosajili mmesajili kisiasa.
Aziz Ki ukiacha lile shuti lililotaka kumuua Manula ni wa kawaida sana, Bigirimana, Kisinda, Djuma Shabani...