kunasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Samia usikubali kunasa kwenye mtego wa TFF

    Rais Samia wewe ni Rais wetu sote. Mara ya kwanza ulitukwaza wanayanga ulivomaliza suala la Feitoto katika kutoa maagizo. Na ukijua maagizo yako kama Rais hakuna raia wa nchi hii anaweza kuyapinga, Kwa heshima yako wanayanga tulikubali kulimaliza suala hili mezani japo tulishinda kwenye sheria...
  2. R

    Mliowahi kuwa watanashati kwenye mavazi, jambo hili ina uzito kiasi gani kuvutia wanawake

    Hatuwezi kufanana, mwenye maneno atasuka sentensi zake, mwenye gari atatumia lifti, mkaanga chips atapooza njaa, n.k. Utanashati una uzito kiasi gani kwenye mvuto
  3. G

    Biashara kiganjani. Hivi ndivyo unavyoweza kunasa wateja kwa kutumia internet na kujiingizia kipato

    N:B: Lazima uwe na ujuzi au maarifa ya kutatua shida, sio kuminya tu simu. Tafuta ujuzi au maarifa ya kumtatulia mtu shida kwa uhakika na uaminifu. mfano mimi hii ni kazi part time, najihusisha na mini logistics, niliwahi kuandika humu >> link << Tengeneza page yako ukionyesha ukamilifu wako...
  4. G

    Biashara kiganjani, Hivi ndivyo unavyoweza kunasa wateja kwa kutumia internet na kujiingizia kipato,

    moved jukwaa la biashara
  5. Rorya: Wanafunzi sita wafariki baada ya kunasa kwenye tope wakiogelea kwenye bwawa.

    https://x.com/MwananchiNews/status/1827665660110872878?t=M10MpOscMBz7jcfQEB0_ig&s=09
  6. Jinsi ya Kujenga Mashine ya Kunasa Wateja

    Nikikwambia kuwa unaweza kumiliki mashine yenye uwezo wa kukuletea wateja kwenye biashara yako utaniamini? Wateja wenye pesa mkononi tayari kununua bidhaa/huduma unazotoa? Wengi nikiwaambia hili jambo nyuso zao zinakunjika kwa mshangao na kuona kama jambo lisilowezekana kabisa. Wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…