“Niliishiwa na nguvu wakati aliponiambia kama unaitaka hii nafasi basi lazima tukutane kimapenzi kwanza ndio uipate,” anasema Sharifa.
Kitu pekee kilichomjia kichwani kwake ni kuliweka jambo hilo liwe siri, libaki milele kwenye shimo la nafsi yake, hakutaka mume wake ajuwe nini kilimkuta hata...