Mahakama ya Jijini Kampala imetoa agizo kwa msimamizi wa kikundi cha WhatsApp (Admin), Allan Asinguza, kumrudisha tena mwanachama, Bwana Herbert Baitwababo, ambaye inasemekana aliondolewa bila ridhaa yake.
Hakimu wa Mahakama ya Makindye, Bwana Igga Adiru, amemuagiza bwana Allan Asinguza, ambaye...