Wakuu naweza pata dawa gani ya kuponyesha mdomo wangu unauma ni kila kitu cha moto ...na ulimi pia unauma upande mmoja wa kulia...kuna mtu kaniambia labda sina vitamins.
Ulimi unauma kama umekatwa na kiwembe hasa ni kila kitu cha moto.
Nina siku ya nne sasa.
Wakuu habarini smaahani,
Ninaomba kwa anayeweza kufahamu mtu anayekuwa katika hali hii anakuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani?
Nina Baba Mkubwa wangu yeye kuna hali humtokea yani unakuta amelala, mara gafla utakuta anakoloma halafu anakuwa anakakamaa huku akitapa tapa, halafu anakula ulimi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.