kung'ata ulimi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maumivu makali kwenye ulimi

    Wakuu naweza pata dawa gani ya kuponyesha mdomo wangu unauma ni kila kitu cha moto ...na ulimi pia unauma upande mmoja wa kulia...kuna mtu kaniambia labda sina vitamins. Ulimi unauma kama umekatwa na kiwembe hasa ni kila kitu cha moto. Nina siku ya nne sasa.
  2. Ni aina gani ya ugonjwa huu, mgonjwa anakakamaa na kung'ata ulimi?

    Wakuu habarini smaahani, Ninaomba kwa anayeweza kufahamu mtu anayekuwa katika hali hii anakuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani? Nina Baba Mkubwa wangu yeye kuna hali humtokea yani unakuta amelala, mara gafla utakuta anakoloma halafu anakuwa anakakamaa huku akitapa tapa, halafu anakula ulimi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…