Nina wanaume wawili na wote wanataka kunioa. Labda nikufafanulie kidogo, kaka. Niko kwenye mahusiano na wanaume wawili: mmoja ni kijana kama mimi, ana miaka 27, na mimi nina miaka 24. Anaishi kwao, na baba yake ni mtu mwenye pesa sana, hivyo anampa kila kitu. Hata kufanya kazi hataki, kwani...
Habari za humu jf
Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)
Sina mtoto wala sijawah kuolewa, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa mbali)sio...
@Arusha,Mama mchagga (Mmaranguu), baba mngoni
Ndege mjanja hunaswa tundu bovu, baada ya kuchemka mwishowe nilisaidiwa kumpata wa kunioa 'Asante'
Mama aliwakataa wachumba zangu wawili, watatu alikuwa Mkibosho very handsome akisoma Uhandisi UDSM baba yake akiwa ni tajiri wa Hardware chains Arusha...
Haya mje wana
Kuna dada amemwaga maji huko
Alitembea na baba mkwe miaka ya nyuma kama 3.
Baada ya miaka 3 akaja kupata mchumba, wakapendana sana kijana akachanganyikiwa
Kijana kumpeleka nyumbani kutambulisha, be-hold baba alietembea nae ndio baba mkwe wake
Sasa ananiuliza hapa afanyaje...
Habari mimi mdada mwenye umri wa miaka 39 ni muajiriwa, nahitaji kuwa na mwenza awe na miaka 41 hadi 50.
Awe HIV+, Mkristo mwenye hofu ya Mungu.
Aliye tayari na serious aje PM tuzungumze.
Katika chapisho lake la hivi punde kwenye mtandao wa TikTok, Paula aliiga sauti ya mwanamke akiweka wazi kuwa hayuko tayari kuolewa.
“Mwanaume akisema anataka kukuoa sasa hivi utamchukulia aje?” sauti ya mwanaume iliuliza kwenye video.
Sauti ya mwanamke ilijibu kwamba mtu ambaye ana nia ya...
Naona ushauri,
Kwa jina naitwa Yusrath Mohamed. Mimi ni Binti mwenye miaka 19 kwasasa.
Nyumbani kwetu sio matajiri na wala sio masikini bali ni maisha ya kawaida. Inshort mimi sio mtoto wa kishua.
Baba yangu ni mwajiriwa wa serikalini na mama yangu ni mama wa nyumbani. Mimi ni mtoto wa tatu...
Mimi ni kijana wa kike, umri wangu ni miaka 28. Mimi ni mkristo, nasali kanisa la KKKT, elimu yangu ni degree moja. Ni mweupe kiasi, sio mrefu wala sio mfupi.
Natafuta mchumba ambaye natamani aje kuwa mume wangu. Awe na sifa zifuatazao;
1. Asiwe mrefu sana wala mfupi sana.
2. Awe mkristo.
3...
Kwa aliyetayari kwenda kwenye hatua hii.
Najua wengi mtajiuliza kama huko mtaani sikutani na wanaume, kwanza wanaume wapo wengi mtaani lakini kutokana na nature yangu mimi mizunguko yangu huwa ni kwenye shughuli zangu na kurudi home.
Ninao kutana nao wengi kwanza hawaamini kama nipo single na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.