kunishukuru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    VIJANA PITIENI TAUSI PORTAL MTAKUJA KUNISHUKURU.

    Ujumbe huu uwaendee vijana watafutaji na wawekezaji hasa wale wanaopenda kuwekeza kwenye ARIDHI. Ingia google andika Tausi portal ingia kwenye menu.Angalia sehemu imeandikwa LAND SALES🤝 Ukiingia kupitia computer utaona details nyingi kama bei ya kiwanja,ukubwa wake na plot namba.Simu...
  2. Rorscharch

    Ukitaka kuoa usiangalie kabila wala Nyash bali chunguza kama Baba wa mkeo mtarajiwa ni mkoloni, utakuja kunishukuru

    Malezi ya mtoto ni conditioning, na kama tunaongelea mtoto wa kike basi uhusiano wake na baba yake utakupa ishara bora jinsi utakavyokuwa ndani ya ndoa na wewe Kuna wale mababa ambao huwaita watoto wao wa kike maneno ya kiutani utani; utasikia "my little angel", "Sweetheart" na ukurutu...
  3. GENTAMYCINE

    Pre GE2025 Kama umepanga kugombea nafasi ya uongozi 2025 hakikisha umejipanga hasa

    1. Ficheni mipango yenu ya Kisiasa 2. Acheni kuwaamini 100% Wake zenu na hasa Madereva wenu 3. Kuweni makini na Vinywaji mnavyokunywa hasa maeneo ya Mapumziko 4. Kataa kuwa na Chawa kwani Mafia wanawatumia hao hao Machawa wenu Kuwamalizeni kiurahisi 5. Kama unasali sana, Sali Kweli na kama...
  4. GENTAMYCINE

    Rais Samia tafadhali nakuomba chukua muda wako leo na uupokee huu Ushauri wangu GENTAMYCINE, nina uhakika utakusaidia sana na Kunishukuru pia

    Pole na Majukumu yako ya Kiutendaji na hongera kwa yale mazuri unayofanya kwa Tanzania japo kwa kawaida changamoto za Kiutawala / Kiuongozi kwa Rais yoyote hazikosekani na kama hutozimaliza Wewe basi atakuja Kuzimaliza ajaye. Tafadhali Rais Samia nakuomba fanya yafuatayo ikikupendeza....... 1...
  5. GENTAMYCINE

    Kwa wale ambao mnataka au mna hamu sana ya Kuvunja Ndoa zenu nzuri ili mje kuungana nasi 'TEAM NO KUOA DAIMA' chukua hii mbinu utakuja Kunishukuru

    HOW TO DESTROY A GOOD MARRIAGE IN JUST ONE MONTH To destroy a good marriage is very easy than you think, it does not cost anything. I listed here things you can do to destroy a great marriage by just doing them for a Month, no matter how strong the marriage is, it will be destroyed if you do...
  6. mchawi wa kusini

    Simba SC, timueni Mangungu na Try Again mtakuja kunishukuru baadae

    Simba sc Timueni VIONGOZI hao wawili Try again na Mangungu ,bila hivyo mtaendelea kuharibu tu na hamtajenga timu. TUNAENDELE KUHARIBU TULIPOISHIA? Taarifa za Uhakika ni kwamba Simba inaenda kubomoa kikosi chake na kuanza kukisuka upya!! Possibly Che Malone ataondoka,Inonga anaondoka! Bado...
  7. Slim5

    Malimwengu: Fanya Jaribio hili leo. Utakuja kunishukuru

    Fanya Jaribio hili leo. Utakuja kunishukuru baadae. 1. Lala Chali, horizontal. 2. Kunja Ngumi mikono yote miwili 3. Fumba Macho Hakika utastaajabu ya Dunia
  8. TODAYS

    DOKEZO TRC, mtanitafuta kwa uchochezi au Mkurugenzi Mkuu Kadogosa utanishukuru mimi na JF? Treni imefungwa kwa waya!

    Ninavyofahamu kwenye usafiri wa mabasi kuna wakaguzi kama maofisa wa kitengo cha usalama barabarani. Sasa kwenu nyie shirika la reli TRC ya ndg Kadogosa sijui nani anawakagua mwanzo, katikati ya safari au mwisho. Pichani ni treni mnaita deluxe inayotoka Dar Es Salaam kwenda Arusha na hizo...
  9. Boss la DP World

    Usitongoze mwanamke, fanya hivi utakuja kunishukuru

    Kutongoza ni kupoteza muda na kutumia nguvu bila sababu za msingi, mimi nikiona mwanamke mzuri namwita kwa heshima, namwambia umependeza, unamwonekano mzuri utasikia Asante, hapo naingia mfukoni nampa hata elfu 50 na business card. Kati ya mabinti 13 niliofanya hivi nimetembea na 11. Mkono...
  10. Google Diggers

    Kuajiriwa ni utumwa; mlio nje ya Ajira Rasmi kazeni Buti. Wenzangu jobless nafasi yenu kwa busara yangu ukajiajiri, utakuja kunishukuru

    Jiajiri utaepukana na mateso manyanyaso na kuabudia binadamu asiye na shukran. Marais na viongozi wetu wanafanyakazi ya ziada Sana. Katika utendaji kazi Kuna Mambo mengi yamefichikamana. Hutaona mapema. Jiajiri na hakikisha unaongeza ujuzi mara Kwa mara kw kile unachoamini utatusua. Hata kama...
  11. Huihui2

    Ujumbe kwa Rais Samia: Tembelea Nyanda za Juu Kusini, Utakuja Kunishukuru

    T
  12. Jebel

    Hii ndo namna pekee ya kuwasaidia vijana wa Kitanzania. Soma utakuja kunishukuru

    Habarini Waungwana! Natumaini Mungu anaendelea kumjalia kila mmoja wetu kadiri ya mapenzi yake. Utangulizi Kwanza naomba nianze kwa kusema kwamba vijana wengi wa KiTanzania ni wachakarikaji, wapambanaji, wapiganaji tofauti na vijana katika nchi nyingi sana ambazo nimewahi kutembelea au kufika...
Back
Top Bottom