Leo Kuna mtu kanipigia simu nikakumbuka tukio Moja miaka kama 10 imepita
Kipindi hicho ujana mwingi+ tulikua wajanja wajanja tumeshika shika vipesa si haba, npo dsm Kuna jamaa yangu ye hata tungi hapigi ananicheki hewani kuniuliza upo wapi, namwambia npo geto ila naenda bulls park(karibu na...