Je unahisi umeshaanza kumchoka mmeo ama mkeo????!!!!
Imeandikwa na Shams Elmi (Abu 'Ilmi)
Takriban katika maisha ya wanandoa walio wengi kama sio wote, ndoa zao hupitia katika vipindi tofauti. Kama ulivyo umri wa Binadamu, ndoa hupitia katika kipindi cha utoto, ujana na uzee, na kila kipindi...