Mimi ni mmojawapo😂
Na nadhani nilipigwa kama mara tatu hivi kabla sijajifunza na kuelimika
Miaka ile ya 2010 nikaagiza kupitia Ebay radio touch screen.. Wakati huo bongo ilikuwa ni kuanzia lako 5 kwenda juu.. Mimi nikaipata kwa elfu 50 tuu free delivery😂
Baada ya miezi miwili kupiga bila...