Wakuu humu kuna watu wa aina mbalimbali ambao wana ujuzi wa mambo tofauti tofauti. Una yapi ya kumwambia kijana ambae anataka kununua kiwanja? Mambo gani azingatie ili asije akajuta huko mbeleni?
Wakuu nianze kwa kutoa salamu kwa wote ikiwa ni pamoja na pole kwa mihangaiko ya siku. Tukirudi kwenye kwenye kichwa cha habari, nimekiwa nikiishi kwenye nyumba za kupanga karibia miaka mitano hapa dar ila kwa sasa nafikiria nitafute kiwanja nijenge.
Wazo la kwanza nafikiria nitafute kiwanja...
Maisha ni nyumba guys, na kabla ujenge lazima uwe na kiwanja. Hata usipoishi huko we jenga pangisha na uwe urithi kwa watoto baadaye.
Ft. 60x50, kipo mbande, mwenyewe anashida anamgonjwa so maongezi yapo hamtashindwana, bei 4M ft.
Unapotaka kununua nyumba au ardhi kwaajili ya makazi yako weka sana umakini wa kuchunguza wakinanani wanakuwa majirani zako na ni watu wa aina gani usiishie tu kuangalia uzuri wa nyumba unayotaka kuinunua au hiyo ardhi kumbuka kuna watu watakuwa majirani zako .
Kuna watu leo hii wanateseka...
Utangulizi.
Idadi ya mipango miji na vijiji kina kitengo cha upimaji na ramani. Kitengo hiki kimepewa jukumu la;-
✓ Kupima ardhi na
✓ Kutayarisha ramani (survey plan) za miji na vijiji.
Ramani zinazo tayarishwa ni hatua za kubuni, kutekeleza na kuratibu mipango ya maendeleo juu ya ardhi kwa...
kwema wakuu,
Mdogo wenu huu mwaka nimejitafuta nataka nikanunue uwanja mwsho wa upepo uko ndani ndani.
Sasa sijui chochote kuhusiana na kununua uwanja naombeni mnipe muongozo mdogo wenu napoenda kukamilisha hii ndoto yangu maana naogopa kutapeliwa wakuu
Wanaopewa fidia ya milioni 6 ili wahame bonde la Msimbazi- Dar itawatosha kununua kiwanja na kujenga?
Maana milioni 6 naona Kama ni ndogo, kwanini wasingepewa nyumba (apartment za pale Magomeni)?
NOTE: FIDIA NI HURUMA YA RAIS TU
Kinadharia hata wasingepewa kwa mujibu ya watoa hela.
Vipi...
Wadau,
Naomba ushauri au mawazo yenu. Nataka kununua kiwanja cha kujenga nyumba ya maisha, sasa kuna hizi sehemu mbili. Kigamboni Gezaulole na Goba.
Ipi ni sehemu sahihi?
Nimeangalia Matokeo ya sensa nimeona Licha ya Kigamboni kuwa Dar ila Ina watu Wachache na wengi pia hawahamii tofauti na Mkuranga..
Sasa sijajua shida ni ipi ila nataka kuuliza,ni wapi Kati ya Mkuranga na Kigamboni naweza nunua kiwanja/viwanja Kwa Ajili ya kutunza kama asset Ili nije niuze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.