Nyota wa Real Madrid, Vinícius Júnior, anafikiria kununua klabu ya soka katika ligi daraja la pili nchini Ureno, kwa mujibu wa chanzo kilichoieleza ESPN.
Ligi hiyo ya Ureno ina jumla ya klabu 18, zikiwemo timu za akiba za Benfica na Porto.
==
Real Madrid star Vinícius Júnior is considering...