Wakuu kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.
Nlipata wazo lakununua hizi Landcruser double Cabin mbovu hasa hizi za Serikali ama kutoka Mashirika mbalimbali ya Uma... lakini kuagiza garii Mpya kama hii kutoka Japan kweli ntaishia kulipia Kodi bandarini na mtaji wangu utaishia Kwa Mjapan pia...
Japo binafsi napenda kusisitiza watu kulipa kodi kwa ajili ya maendeleo yao, Lakini mambo kama haya ndiyo yanayovunja mioyo ya walipa kodi wengi. Je, hii ni sawa?
Mlipa kodi baada ya kulipa kodi anaenda kumwangalia mtoto wake shule njiani anapishana na Toyota GxR V8 ya mkurugenzi iliyonunuliwa...
Habari za kushinda wakuu?
Naomba kufahamishwa/kujulishwa tofauti iliyopo kati ya magari ya kuagiza nje ya nchi kwa mfano Japan, korea nk na yale yanayouzwa hapa nchini, unakuta mtu amefungua yard yake anauza magari ambayo ni used kama yale ambayo unaweza kuagiza kupitia makampuni mbalimbali...
Wakuu, kwema.
Kwa wale ambao wamewahi kununua gari, kwa kuagiza, kwa mtu au showroom, hivi rangi ya gari uwa unaiweka katika options zako za muhimu au?
Kwa upande wangu, rangi ya gari nilikua naichukulia poa. Nikakutana na Runx nyeusi, nikanunua fresh.
Shida ikaja, AC kuna kipindi ilizingua...
Wabunge nchini Nigeria wanatarajia kutumia zaidi ya 38m$ ambapo kila mmoja Kati ya wabunge 466 atatumia zaidi ya 400m za kitanzania kuagiza gari aina ya Toyota SUV
Pendekezo la kununua magari ambayo ni home made lilitupiliwa mbali na wabunge hao wakidai hayaendani na hali ya barabara nchini...
Magari ya zimamoto kwa maisha ya mtanzania ni muhimu kuliko dege ambalo raia wa kawaida hawawezi kumudu hata tikiti ya laki tatu na ushee.
Hii midege ina return gani ya kiuchumi kwq wananchi wa kawaida?
Kwa nini kusinunuliwe gari za kisasa za zimamoto? Au ikibidi Helkopta ya kisasa ya kuzimia...
Habari,
"Tafuta kiwanja, Jenga, Oa/Olewa, nunua mkoko", njia hii na mawazo haya yamekuwa kwa vijana wengi wanaoanza maisha, hususani waliobarikiwa kupata ajira au biashara zao binafsi ambazo zinawapa kipato flani cha kuendesha maisha yao. Kwa uzoefu wangu hii imekuwa kati ya sababu moja kubwa...
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali (TAMISEMI) Dkt. Festo Dugange amesema katika mwaka wa fedha wa 2022/2023, Serikali imetenga shilingi Bilioni 35.1 kwa ajili ya ununuzi wa magari 316 ya kubeba wagonjwa katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini.
Dkt. Dugange amesema...
Wakuu Salam,
Hata kama nchi haina vipaumbele, hata umasikini wa watu wetu hatuuoni?
Katikati ya kutupa magari tunanunua megine...?
Kairuki kaomba mengine ya bil 16, magar 81.
Tizama video ya magari yaliyotupwa👇
======
Waziri wa TAMISEMi, Angellah Jasmine Kairuki amewasilisha Bungeni...
Tumezoea kuona injini zinazokuja kwenye gari zikiwa na piston ila hii ni injini isiyokuwa na piston bali muundo wake ni kama gurudumu la pembe tatu.
injini hii iupatikana kwenye magari ya mazda. Injini iligunduliwa mwaka 1967 na kuboreshwa mfumo turbo mwaka 1982.
wankel injini ukubwa wa injini...
Natafakari sana lakini sipati majibu, kati ya taasisi ya umma yenye magari ya kifahari halafu Kwa idadi kubwa basi ni hawa TRC. Wanamiliki magari mengi tena ya kifahari lakini sijui Kama taifa limewapa ruzuku ama ni faida kutoka katika huduma wanayotoa.
Shirika hili za reli linatumia magari...
PSSSF yakanusha tuhuma za Viongozi wake kujikopesha pesa za kujinunulia magari kinyume na taratibu.
Awali mnamo 16, Sep 2022 Sekretarieti ya Maadili ilitoa Taarifa ya kuwaita Viongozi hao kwenye kamati ya maadili na kuwahoji kwa kujikopesha pesa kinyume na Utaratibu, fungua kiungo kusoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.